Jamaa amtukana rais Uhuru kuwa ni 'mtoto wa mbwa' lakini yupo yupo tu

This young lad still has uncircumcised mind and immature he wasn't ready for public office.Don't bring disrepute and dishonour to public office Babu Owino hiyo kiti sio yako.
 
Haka kashoga kumbe ka Babu Owino nimemsikiliza Sonko vizuri haka kajamaa ni jamii ya Bashite wa Bongo
 
Uhuru wa kujieleza na Demokrasia Imara
Ujinga huo huwezi kumtukana kiongozi wa nchi mtoto wa mbwa halafu ukasema ni uhuru wa kujieleza. Sometimes naona Rais Magufuli yupo sahihi
 
Ila tunatofautiana uelewa. Demokrasia haimaanishi kutukana. Matusi ni kuvunja sheria. Chukulia wewe mtu anakutukana kama hivyo unaweza vumilia???
Hapo kunatofauti kubwa sana kati ya kukosoa na kutukana.
MK254
Wanadamu mnapambana kufuta msamiati "MATUSI"
Hata kama siyapendi, lakini hii ni vita ya kushindwa.
 
Ujinga huo huwezi kumtukana kiongozi wa nchi mtoto wa mbwa halafu ukasema ni uhuru wa kujieleza. Sometimes naona Rais Magufuli yupo sahihi
Ungejua kuwa binadamu na mbwa wanakitu kimoja kinafana na kina thamani sawa UHAI.

Afavyo mbwa ndivyo afavyo binadamu.

Msijipe thamani ya kufikirika kana kwamba mna ubora wa ziada.

Zaidi sana mnatengeneza ma nuclear bomb.
 
aiseee ingekua hapa kwetuwangemuokota coco
 
Ungejua kuwa binadamu na mbwa wanakitu kimoja kinafana na kina thamani sawa UHAI.

Afavyo mbwa ndivyo afavyo binadamu.

Msijipe thamani ya kufikirika kana kwamba mna ubora wa ziada.

Zaidi sana mnatengeneza ma nuclear bomb.

weweeeee kufa tunakufa sawa na viumbe vingine, lkn binadamu kaumbwa kwa mfano wa Mungu.
 
weweeeee kufa tunakufa sawa na viumbe vingine, lkn binadamu kaumbwa kwa mfano wa Mungu.
Binadamu kaumbwa kwa mfano wa binadam.
Ile lugha wanaielewa wataalam wa lugha, sio waumini.
 
Binadamu kaumbwa kwa mfano wa binadam.
Ile lugha wanaielewa wataalam wa lugha, sio waumini.
aisee nisije nikawa anaongea na mtu ambaye haiamini biblia. huyo binadamu alitoka wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…