Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Shimboni,
2016- nimetulia zangu mtaani ghafla sister binamu ananiletea kischana kizuri , ananitania kaka nimekuletea mchumba naona umekaa kizembe sana, nikatabasamu, ilikuwa jioni ya saa mbili
Tukapiga story tukiwa wote watatu, then nikawasindikiza mtaani kwao, mara mazoea na kile kischana, nilisafiri mkoani then nikarudi nikakutana na kile kischana safari hii nilikutana nacho kimechangamka kidogo, story tukabadilishana namba, mara sim nyingi , full meseji, tukajikuta tupo kwenye mahusiano
Katika mahusiano mtoto alikuwa ataki kunipa nyuchi, nikaona huyu mtoto ana utoto mwingi, ni Binti wa miaka 23 kipindi icho, ila wale mabinti ambao wamechelewa kuchangamshwa, nikaona sio kesi ngoja niende nae , mdogo mdogo ipo siku atanipa tu nyuchi, nimedumu nae mpaka kati kati ya mwaka , Bado mtoto ananiletea ugumu na Mali zangu anadambua tu , mwezi wa sita huo nikapata simu ya kazi kutoka dar kwenda shinyanga, mkataba ulikuwa wa miaka 3, nilienda ila sikumaliziaga mkataba huko story ni ndefu kuhusu kumalizia mkataba
Nikaona siwezi kuendelea na mahusiano ya mbali na kademu kazuri hivi, nikaandaa dinner tukaenda kupata msosi huko nikaenda kukaambia, kuwa nasafiri naenda mbali na sijui narudi lini so Kwa kuwa sijakuchezea naona kila mtu ale 50 zake, tusiwe na mahusiano, katoto kalijiliza liza palee , kakanambia Kwa kuwa sijakupa nyuchi Nini? Ndio sababu unataka unimwage, nikamwambia sio sababu, japokuwa ungekuwa umenipa papa, ningebaki na wewe kimahusiano japokuwa naenda mbali, palee misosi mingi , vibusu vya kuagana palee, mara oooh nitakumis , mchizi Sina habari nafikilia kibarua tu huko shinyanga
Wiki baadae nikasafiri, tukawa tunaendelea na mawasiliano baadae mawasiliano yakakata mara nikapoteza namba zake , mambo yakawa hivyo
Kazi zilienda poa kule shinyanga , yakatokea yakatokea mkataba nikasitisha ikabidi nirudi zangu dar , mchizi , nikarudi zangu
Kale Kasichana/demu karembo, kakasikia Kwa sister binamu kama nimerudi, kakaomba namba yangu kakanicheki Whatsapp, sms inaingia , oooh umesafiri umenipotezea na umerudi pia umenipotezea hautak hata ujamaa na Mimi, mchizi kuangalia picha, katoto kazurii aisee kalipendeza hatari, na mkoani huko nilikuwa sijapata hata wakulegeza misuli nikajisemea huyu huyu nakufa naye, kuangalia picha vizuri kile kidem, nikakaambia sorry banah mambo mengi , tusameheane
Story za hapa na pale , tukapanga tukutane, kumbuka mtoto alikuwa ananinyimia kunipa papa , kipindi nipo naye kwenye mahusiano japo kuwa Kwa mda mfupi, so tukapanga kukutana tukakutana
Nilimpeleka kijisehemu fulani hapo kigamboni kamepoa hatari, basi hapa nyama, palee utamu , kula , vinywaji na story , tuliinjoy hatukuonana siku nyingi
Huku na kule , kitoto kikanambia kipo kwenye mahusiano, kikaniuliza vip? Kuhusu mimi, nikamwambia kama ana shoga yake anipigie pass, nitashukuru sana maana ninaugumu balaah, akacheka, akasema bora ufe na ugumu wake, mtu ulikuwa bwanah angu alaf nikutafutie mwanamke ninawazimu, nikamwambia lakini hatukushiriki tendo so ni kama hatukukuwa na mahusiano, alikataa akasema hawezi kunitafutia mwanamke
Fresh, mwanaume nikafa, kila mtu akala 50 zake , kumbe mtoto amenikubali Kwa mara ya pili japokuwa yupo kwenye mahusiano, kila jioni anaomba nimtoe japo akale chips zege au pweza na kachori, ukawa mchezo wetu , kila jioni lazima nitenge ki elf 2 au 5 changu Ili nikamtoe , huko ilikuwa story nyingi za mahusiano full makonga , mtoto mara anaomba nimbebe mara hivi, mara vilee, bahasha wake akipiga simu ana mute, nikimuuliza Nan? Mtoto anasema ukweli ni mtu wangu , Mimi namruhusu tu pokea tu hamna tabu, so mara anapokea siku zingine anamuweka silence, nilikuwa namchora tu
Siku sikawa zinaenda tukafikia mpaka kula kiss, mara romance, nikaona mtoto anataka anitunuku huyuu, nikasema ipo siku tu, mimi simuombi Walae Nini!? Hapo chat nyingi Whatsapp, mtoto full kunitumia k yake niipigishie, Tena ananitumia video na picha , full makopa kopa, nilikuwa namkumbushia tu kuwa usisahau kufuta basi, mtu wako asije akaona alaf ikawa tabu, alikuwa ananambia usijali nitakuwa nafuta, chat zilizidi aisee
Nakupenda nyingi, full kopa kopa, full kunitumia picha, za kawaida na za utupu , nikawa najisemea mtoto kaona kipi Cha ajabu kwangu na anabwanah yake, nikaona poa tu
Siku zikaenda, Mimi nikawa namuambia kuwa mimi sio mtu wake afocus na mtu wake ila kama anataka kuwa na Mimi awe muangalifu Kwa bwanah ake , aweke mambo yetu private Ili asijialibie Kwa mtu wake, akawa ananambia yupo makini sana, mtu wake alikuwa anaishi mbali na tunapoishi, sisi ilikuwa tupo karibu
Aaah weeh siku hiyo mtoto akaamua kunitunuku mchizi nikiwa Sina habari na nyuchi kabsa, ananitumia sms my love, Leo nakuja kulala Kwako, aaah weeh ah ah ah ah , mtoto mtamu bwanah yulee daaah
Nikamwambia mbona ghafla hivyo, akanambia ukitaka nikwambie tangu asubuhi Ili unipakie mkongo, mida yetu Ile tunaenda kula alaf tunaenda kulala, nikamwambia karibu sana aisee nitashukuru sana kunipa hiyo kitu kwani ulininyimia Kwa mda mrefu sana leo nitaichapa mpaka itatoa moshi
Nikawa nampa sex text, nikawa namuuliza anapenda sex ya aina gani? Anapenda kula nn? Akiwa sex room, anapenda style gani? Zaidi , Nini! Apendi kufanyiwa katika sex , akawa ananambia, nikawa nam note tu, nikajisemea mzuka ukipanda nitakufanyia tu vile vitu haupendi, sio Kwa mpalange lakini Kuna zile touch flani Kuna baadhi hawapendi kama mikovi ya bataks na nk
Mtoto akaja , tukaenda kununua chakula siku hiyo tulikula alaf tukanunua vingine kula usiku kwenye njaa ya sex, kweli bwanh sex ilienda vizuri Sanaa, mtoto akaanza kutoa Siri za baasha wake kuwa uume wake uwa hausimami vizuri, mara asubuhi
huwa hausimami kabsa, Mimi asubuhi ilipofika nikampiga bao 3 Kwa kumuhakikishia kuwa show show, mlingoti na bendera vyote nondo
Ukawa mchezo , mtoto akawa kila baada ya siku nne , anakuja mara baada ya wiki anakuja, kumbe na alikuwa na root ya kwenda kulala Kwa bwanah ake pia usiku, Mimi sikuwa na mazoea ya kumtafuta usiku mpaka anitafute yeye, siku hiyo ninaugumu si nikamcheck sms saa sita usiku bwanah daah niliharibu kinoma
Kumbe mtoto ameshachezea ukuni Kwa bwanah ake , amelala sms inaingia , nimemtumia kuwa my love nimekumisi hatari yaani niambie upo wap? Nimtume boda aje kuchukua, hiyo ilikuwa normal sms, bahasha wake akanisearch Whatsapp, mtoto alisahau kufuta sms daah, na hakufutaga sms tangu anaanza kuchat na Mimi, Huwa tu anazificha kwenye archive, daah jamaa akaanza kuona mabalaha yangu aisee sio poa
Mara naona sms inaingia Kwa namba mpya, kuwa mpenzi , nimekumisi pia , nikawa najiuliza tangu nimjue huyu she hakuwahi kutumia namba ngeni tofauti na hii, nikampigia normal call, haijapokelewa, akanitumia sms Tena na Ile namba ngeni, oooh baby tuchat tu, nitakupigia nikiwa free nimelala na wadogo zangu, nikaona huu mchezo
Nikaipigia Ile namba ngeni Tena haijapokelewa , nikaona hii michezo nikaiangalia Ile namba imesajiliwa jina Nan! Nikaona jina la kiume, nikaitumia sms siwezi kuchat na mtu simjui, mwenyewe akiwa sawa utamwambia anipigie , na naomba usinitunie Tena sms, aaah kumbe alikuwa bahasha wake daaah sio poa, ameona chat zote aisee , mara mtoto amenitumia nyuchi, mara sijui nn! Mara akimsema bahasha wake kuwa uume hausimami ilikuwa noma, mchizi ilibidi anipigie, kibaya zaidi mchizi alipiga sim akiwa analia , nilishtuka nikajisemea kweli unaweza ukalia kisa mapenzi enzi hizi kweli daah, usishangae mtu akijinyonga kisa mapenzi
Ikabidi niokoe maisha ya mwanaume mwenzangu na kuanza kumplease yule jamaa, na kumwambia kuwa nilimforce sana kuingia naye kwenye mahusiano huyo Binti so ni makosa yangu, nikajidogosha coz mtoto alinambia kuwa yupo kwenye mahusiano, nilimuomba asije kumdhuru coz ni msichana mdogo sana aisee, kitu kizuri nilichofurahi tuliongea kama wanaume , jamaa naongea naye analia Kwa sauti aisee na kunambia kuwa jamaa zake walimwambiaga kuwa huyo demu ni kicheche , nilimplease sana asimdhuru, jamaa alikuwa analalamika kuwa ameingia gharama nyingi zana Kwa huyo manzi ila sijui kwann! Anamcheat
Niliomba amuamshe niongee nae ila demu aliitikia tu baada ya kuamka ila hakuongea , daah ilikuwa hatar
Jamaa analia kabsa yaani na nilijuaga jamaa ni mdogo baadae huko demu aliporudi Tena kwenye line akanambia jamaa ni likubwa hilo ila linalilia mapenzi
Dem hakupatikana kama wiki mbili hivi , nafikiri aliporwa sim, baadae alikuja kupatikana na kuniomba radhi kuwa hakufuta zile chat, anasema sms ingekuwa Moja Ile Ile tu angeitolea maelezo ila aliona sms za Whatsapp na izo zilikuwa hatari
Mimi niliendelea kupiga kama kawaida na jamaa yake walitengana Kwa mda wakarudiana , Sasa hivi Wana mtoto mmoja wa kike ah ah ah ah, nasisitiza Wana mtoto mmoja wa kike, ila Kwa hekma zangu nimeacha kutembea naye yule msichana Kwa sababu zangu za kimsingi
Wanawake hawa daaah hatari