Jamaa amwaga chozi kisa kukuta SMS zangu kwenye simu ya mwanamke wake

Mwanamke atakupanda pale ambapo ataona weakness angle fulani kwako na wako smart sana kugundua hilo na hamna kitu utamfanya, ukitumia mabavu wa kuumia ni wewe WE JIKUTE
Usitukane Mamba mzee😅tuko hapa
 
Noma sana mkuu
 
Haujasoma vizuri Mkuu, hakuwa Mme wake
Umekosea sana I Bet huyo mtoto wa kike... wewe utakua biological father umenikumbusha WIMBO WA RAPCHA _LISA

Unaweza kumpa zawadi umpendae na yeye akaenda kumpa anae mpenda zaidi😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…