Jamaa anajuta sana kwa hili,Wewe je unajutia nini?

Jamaa anajuta sana kwa hili,Wewe je unajutia nini?

Pole yake mnoo huyo jamaa inasikitisha sana wanawake wachache watakupenda kwenye shida na raha
 
Nilichogundua nikwamba we nimuongo ulietukuka hakuna pkipki inayo feli brek na ikashindikana kupunguza speed inaomesha we cyo dereva mzee yani kama ni chai bac sukari haijakolea au umeichanga na chumvi mzee baba watu tunaendesha pkpk hazina hata brek lkn haiwi kama ulivyo simulia ww. Asante chai yako lakn haijakolea sukari
Makavu.com[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mbona kama stori ya fisi na sungura au ndevu na moyo...
Dah umenikumbusha ndevu na moyo dah...eti bado ndevu anamsubiria moyo atoke!

Ila hii familia tajiri inayompa mkwe pikipiki sijui ndo utajiri gani huu.
 
Back
Top Bottom