Zero unit
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 288
- 221
Umeonae. jamaaa msaada kwenye tuta tafadhaliPikipiki ipo kasi hadi anapata muda wa kuvua Helmet na kumpa mchumbake. Hii chai imekosa Mlonge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonae. jamaaa msaada kwenye tuta tafadhaliPikipiki ipo kasi hadi anapata muda wa kuvua Helmet na kumpa mchumbake. Hii chai imekosa Mlonge.
Bc poleSijawahi kuendesha pikipiki mkuu huwa nazionaga tu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Niliihisi harufu ya shigongo toka mwanzo sema ni story flani tamu creative japo ni chai iliyozidi sukari.Sasa wee hujiongezi ww umeona wapi pikpk ikiwa inaenda speed tu bila muendeshaji kuiruhusu
Makavu.com[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nilichogundua nikwamba we nimuongo ulietukuka hakuna pkipki inayo feli brek na ikashindikana kupunguza speed inaomesha we cyo dereva mzee yani kama ni chai bac sukari haijakolea au umeichanga na chumvi mzee baba watu tunaendesha pkpk hazina hata brek lkn haiwi kama ulivyo simulia ww. Asante chai yako lakn haijakolea sukari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwache mwenzio buana...jiongezeBado sijaelewa neno la 'element' alilosaidiwa mwanamke kuvaa ni kitu gani, yaani element inavaliwa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Pikipiki ipo kasi hadi anapata muda wa kuvua Helmet na kumpa mchumbake. Hii chai imekosa Mlonge.
Usimpende mtu mwingine kuliko unavyojipenda weweKwahiyo moral of the story ni tusisaidie tunaowapenda kwasababu tunaweza kuja kujuta??
Wee acha tuu mimi inanitesa sanaPapuchi sometimes nikiifikiriaga nakoswa jibu imeumiza wengi sana.
Noted kuanzia sasaUsimpende mtu mwingine kuliko unavyojipenda wewe
Swadakta mkuu.Usimpende mtu mwingine kuliko unavyojipenda wewe
Mkuu huenda ni mkinga mwenzangu wa Mbalache huyu maana sisi hulitamka vivyo hivyo hilo nenoBado sijaelewa neno la 'element' alilosaidiwa mwanamke kuvaa ni kitu gani, yaani element inavaliwa?
Ndy!!!Kwahiyo moral of the story ni tusisaidie tunaowapenda kwasababu tunaweza kuja kujuta??
Unatuongopea brotherBinafsi sinaga principle ya kujuta kwenye maisha kwa sababu ninaamini kila kitu kinatokea kwa sababu.
Dah umenikumbusha ndevu na moyo dah...eti bado ndevu anamsubiria moyo atoke!Mbona kama stori ya fisi na sungura au ndevu na moyo...