Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Mungu awatie nguvu kwakweli tena mfanye maamuzi ya busara ambayo hayatawapotezea mda na rasilimali zenu,kwenye maisha haya mambo yapo sana tu
Kila la kheri
 
Kuna mda mchana nilitamani niwakutanishe, tuongee kiume yaishe..

Ila Kuna wazo likanijia kua Hii Ni bad idea, wanaweza kutoana roho Hawa watu.

Hili suala Ni jepesi ukilichukulia juu juu TU, ila ukilipima kwa mizani yake halisia ni zito Sana mkuu kukaa kifuani mwa mwanaume[emoji848]
 
Mwambie dogo aache uzembe atafute binti mwingine apige mzigo huku akimpeleleza huyo aliyemsaliti na kwenda kuolewa atakuwa anajipigia tu yeye avute Subra waoane atakuja kufurahi mwenyewe wanawake wa sasa hawawezi kuhimili uke wenza we utaona tu
Maneno mazito hayaa jamani narudi zangu afrkaa
 
Mwambie dogo aache uzembe atafute binti mwingine apige mzigo huku akimpeleleza huyo aliyemsaliti na kwenda kuolewa atakuwa anajipigia tu yeye avute Subra waoane atakuja kufurahi mwenyewe wanawake wa sasa hawawezi kuhimili uke wenza we utaona tu
Mkuu so rahisi kihivyo atamove on ila itachukua muda sana
 
Usifanye ovyo wanaweza kuwekana mikononi🤣🤣
 
Sidhan Kama ungevaa viatu- vya dogo ungepata ujasili wa kuyasema haya mkuu[emoji17]
 
Jamaa hajui kuna mwana sema sikuwa na mazoea naye chuo alikuja kupokonya demu aisee namchukia mpaka kesho coz alikuwa na fedha mwaka wa pili alikuwa kashapata ajira so anahonga sana demu pesa ni nilikuwa kabwela

Ngumu sana kuwa na urafiki naye tena
 
Mwambie dogo amshukuru sana MUNGU Ninahuakika kabisa what was coming baada ya kumuoa huyo mwanamke was horrible very horrible kabisa maana ambacho angemfanyia angejuta for the lest of his life. Mke yupo tu and she Is out there waiting for him awe na subra apige moyo konde it will take time but hili pia litapita. Huyo mwanamke she is a harlot for sure, msisitize tu Amshukuru MUNGU kwa kilochotokea amuombe MUNGU amoe ujasiri wa kusonga mbele. Kama kunachochote ambacho yule the so called mchumba anamiki kilichokua registered kwa jina la dogo mwambie dogo achukue. But kama vyote ameregister kwa jina la huyo aliyekua mchumba wake please let tell him to forgive and forget completely.
 
We muongo aiseee, gari gani ya kutembelea ina uwezo wa kuwa na tenki la mafuta ya kiasi cha 350k? Sawa na Lita 135? Muongo
 
Shukran mkuu,
Dogo alkua mtu POA Sana, alimuamini Sana mpenz wake uyu.

Ila naamini atajifunza kitu kupitia hili Kama ulvosema.

Wengine sisi tushatendwa Sana uko nyuma, mioyo imeshakua sugu kabisa.

Tunaishi kwenye mahusiano Kama Digi Digi TU, tukimtumainia TU mungu.
 
Ngoma ngumu hii.....

Ila huyo aliyesilimu kama amesilimu kisa ndoa kuna shida mahala.......
 
Huyo mwanamke hana lolote,waacheni wafunge hiyo ndoa

Huyo dogo kaepushwa na balaa hilo,mwanamke hafai ni muongo.
Kwamweli nmemchukulia kana ibilisi flani, mtu mwenye moyo wenye nyama lazima ukitafakari kabla ya kutanya aloyafanya uyu binti.
 
Sidhan Kama ungevaa viatu- vya dogo ungepata ujasili wa kuyasema haya mkuu[emoji17]

Siamini urafiki wa mda mrefu, hilo tu mkuu

Mimi sio muamini wa urafiki wa kudumu
Nilioa nikiwa na miaka 25 baada ya kumjua msichana kwa miezi 2 tu

Leo nina wajukuu
Simcheki dogo wala nini ila nimeongea ninayoyaamini
 
Hakika mkuu, msipoteze muda kumtafuta huyo mwanamke, mnazidi kumpa kichwa tu anazidi kujiona yeye wa dhahabu.

Vilevile mnaweza kuuwasha moto ambao kuuzima inaweza kuwacost fedha, muda, reputation yenu, ogopa sana mwanaume aliye broken hearted.

Kimsingi jamaa akae kimya, kwa sababu kwa kawaida jibu la mjinga ni ukimya bro. Asipoteze muda ama nyote msipoteze muda kuokoa meli iliyozama tayari. Huyo mwanamke atakuja kumtafuta jamaa mwenyewe, na hata jamaa akitafutwa hatakiwi kupokea hata simu ya huyo bitch. Hapo ndiyo njia nzuri ya kumzika mtu ambaye alikukimbia halafu anarudisha kwato zake akishaona umemove on.
 
Mwambie asijiue aje nimpe raha za dunia hadi asahau kama aliwah kukutana na mwanamke mwingine. Ila atanilipa kwa kazi ya kumfanya amsahau huyu manzi wa awali.
 
Na yeye ni fala ilikuwaje akaweka mayai yake yote kwenye kapu moja?
 
Na yeye ni fala ilikuwaje akaweka mayai yake yote kwenye kapu moja?
Hivi vitu mkuu vinatokana na exposure,malezi na mazingira yanayokuzunguka.

Dogo hakua mtu wa mambo Ayo kabisa, MDA mwingi Yuko bize na mambo ya ofsin kwake, mchumba wake na familia yake.

Hata jf yenyewe haijui,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…