Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Ni kweli mkuu unachosema, lakini pia "Kunguru mjanja hunaswa na tundu bovu."

Cha msingi kama ulivyosema jamaa asonge mbele tu, na asitake kujua kinachoendelea kwenye maisha ya mchumba wake waliyeachana hapo atazidi kuumia na kumkumbuka.
 
Basi sawa upo sahihi.

Ila huyo uncle naye awe na msimamo kama wako, azisome haraka alama zako za nyakati aelewe kwamba unampenda!

Maana wewe ulivyoandika umeonekana mjanja, unajali mahusiano na utamfaa.

Iwe pingamizi kwake tu uncle sasa, ukichukulia maisha ya ujana ni mafupi sana hayazidi miaka20.

Huko mbele ya safari ni ubibi na ubabu na furaha zenu zinageukia kutaniana na kucheza na wajukuu, hamjazeeka hapo?

Uncle afanye maamuzi magumu, wakati wenu ni sasa.
 
Hakuna unyonge
Hakuna unyonge
Hakuna unyonge
Hakuna unyonge
Hakuna unyonge

Nimerudia Mara tano "hkuna unyonge"
Mwambie mshkaji afanye kitu kitakachompa furaha hata kma ni kumkeketa huyo Malaya bila ganzi.

Iliwahi kunitokea hii nilihakikisha familia nzima inapata HEART ATTACK

Lazima tukiwa Kama binadamu wenye utashi wa kujua lipi baya na lipi zuri tuheshimu
i. Rasimali za watu wanaoamua kutusaidia hata kwa kivuli Cha mapenzi
ii. Tutimize ahadi "I will marry u after four years" then ndani ya miaka mi4 unaolewa na mshkji wangu?
iii. Tuheshimu TIME ya mtu she had a chance to ignore misaada yote kutoka kwa jamaa siku ya kwanza... Umaskini wake usitumike Kama JUSTIFICATION ya upumbavu alioufanya despite of all pple yy ameona aolewe na mtu wake wa kribu.

Narudia tena HAKUNA UNYONGE
 
Very sad,of all people akachagua rafiki ya boyfriend wake????!!! Mtu wa hivi yuko soo heartless ....huyo muowaji ajiandae, kuwa na mtu wa hivi ni ngumu sana,hana moyo she can do anything.
.
 
Very sad,of all people akachagua rafiki ya boyfriend wake????!!! Mtu wa hivi yuko soo heartless ....huyo muowaji ajiandae, kuwa na mtu wa hivi ni ngumu sana,hana moyo she can do anything.
.
Na kisingizio chao kikubwa "NIMELAZIMISHWA"
yaani 2021 Kuna mtu analazimishwa kuolewa tena mtu aliyeenda shule?

Huyo ameamua
Ameipenda polygamy

Au pengjne anafanya research ya polygamy ili atunukiwe masters degree yake🤣🤣🤣🤣
 
Miaka 4 unakaa na mwanamke ambae anataka kuolewa wewe huendi kumuoa unategemea nini? Msela katokea mda mfupi kamuahidi ndoa na akafanya kweli.

Mwambie apige moyo konde mshkaji wako, next time akitaka mwanamke wa kumuoa asicheleweshe.
 
Mwambie dogo amshukuru MUNGU WA MBINGUNI aliyeziumba Mbingu na nchi.
Hilo siyo tukio la kawaida Kuna jambo MUNGU amemwepusha.
 
Haya mambo sijui yataisha lini,anyway atafute mnyonge wake na yeye.Ila hilo lijamaa ingekuwa mimi saiv ningekuwa nakula bakuli moja na SABAYA.
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa 7NZURI
 
Pole kwake kwa aliyopitia ni mapito katika maisha ya mapenzi… jamaa seems alimwamini sana huyo mpenzi wake.. nionavyo mimi mwanamke hakumpenda kidhati ila alikuwa nae kimaslahi ili yake yatimie na kusaidiwa matatizo ya familia yake.

Back to dogo wako, grief has stages atazipitia zote ndo atapona kidonda. Alie tuu wala asijione dhaifu ni hatua moja wapo katika kujitibu, atajilaumu sana ni hatua pia atapitia, atapitia hasira, akifikia hatua ya kukubaliana na kilichotokea sasa anakuwa anaelekea kwenye process ya kupona. Within time atapona tuu, ajiepushe na vitu, mahali panapokuwa panamkumbusha moments walizokuwa nazo na huyo mpenzi wake wakati wa sasa anapotafuta uponyaji wa maumivu ya moyo. Time heals.

Wenye mapenzi ya kweli wapo, ajipe muda wa kuwa sawa kabla ya kuingia ktk relationship mpya. For more counseling karibu
 

Naelewa Vizuri sana hii comment ni ya kiroho na ina tafsiri mbadala nyingi zisizobagua kwa namna chanya mbalimbali.
 
Mkitoka out ya mbali na wenzi wenu au wachumba kimakundi basi jua lolote linaweza tokea . Mmoja wenu lazima aharibu kwa rafiki yake. Na kutongoza huwa ni rahisi sana. Mashemeji wanakulana sana, mkirudi tayari kuna mahusiano yameingia mdudu.
 
Hakunaga best moment in life kama kufahamu ukweli kuwa ni kweli unagongewa mpenzi, mchumba, au Mke maana unafahamu kuwa kumbe ulikuwa unajua ila ulijipofusha kwa imani isiyo na matendo.

Hakuna hakuna hakuna wa kuponya stress, maumivu ama hasira za uzinifu ama uasherati zaidi ya tafsiri chanya ya Kimungu kuhusu jambo lenyewe kwa maana hata Yes nyakati zake aliponya watu baadhi ila wengine hakuwaponya pamoja na kujua wapo wahitaji wengine.

Nyakati kama hizi ni nyakati za kushukuru kwa kusema asante Bwana wa Majeshi kwa maana watushindia tusiyo yaona yaliyo ya jana, leo na yajayo.

Tafsiri njema/chanya inarutubisha nuru ya rohoni na afya ya mwili.

Kwa hakika yajayo hutokea kiimani kabla bali matendo yake huja baadae kama sehemu ya ukurasa wa njiapanda tengefu yenye ukusudi wa Kimungu zaidi.

God is God of Dimensions, cherish him all the time.

Sponsored by Almighty God

Brought to you by Galileo_Gaucho
 
Mwanamke muongo huyo.
 
Kabisa mkuu, kila mtu ana maslahi yake mwenyewe anapoingia kwenye mahusiano anaona ata benefit nini , usiombee mtu uinvest emotion,time, attention kwake asifanye hivyo in return, maumivu yake hayapimiki and can last llifetime...
ni mbaya mno lakini inatupa fundisho na kuwa imara zaidi. Ubaya wa haya mavitu mtu akishaamua ameamua, utampigania lakini ndio tayari alishavuka hatua nyingine hata akirudi haitokuwa kama mwanzo. U know who u love but u don't knw who loves you.
 
Uyo

Iyo

Ufungui

Kiswahili chetu kinapoelekea hata sijui kwakweli. Halafu huyu ni mtu mzima aliyeandika maneno haya wala sio mtoto wa secondary.
 
Adanje tu pambaaf zake !!!
 
Kwa hapa huyo Dada hakumpenda huyo kaka sema kwa kua walikua mbali mbali ndo maana hakua anajaua tabia za msichana wake! Aachane nae itamkosti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…