Jamaa anasema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa Pwani

Jamaa anasema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa Pwani

Amedai "ilikuwa mali ya Zanzibar " ni kweli kwa sababu hata wewe unakiri kwamba Sultani aliuza kwa wajerumani.Sasa atauzaje eneo ambalo halikuwa kwenye milki yake?Au kiswahili kimekuwa kama kiingereza.Lugha ngumu?
hao wanaojifanay wazenji wote ni wanyamwezi tu walienda huko wakati wa utumwa. hawana chochote wanachomiliki hata hapo zenji. kwa kifupi, sultan alimiliki wao pamoja na wake zao hadi mashamba yote. mikarafuu inamilikiwa na nani leo hii?
 
Unalazimisha hata tofauti huoni 😛 , ukanda pwani ndugu zetu ni zanzibar sio nyie wala ugali.

Acumen Mo watu wa mwanzo kula ugali ni watu wa pwani hata mihogo watu wa mwanzo kula ni wale wa pwani kwa sababu hayo mazao yote hayo hayana asili ya Africa yaliletwa na Mreno.
Na inajulikana Mreno alikuwa na contact na watu wa pwani kabla ya bara. Ndiyo maana watu wa pwani ni laini laini sana sababu ya kula ugali na bamia

Kwa kukusaidia tu walioleta Korosho, Mahindi, Mihogo na Funza hapa Afrika ni Wareno
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Kusema unaweza kusema na mabango ukabeba lakini haizuii kwamba wanzazibari wapo kila aina.Waarabu,washirazi,, wahindi wamakunduchi, wapemba ,wangoni, wanyamwezi.Ukipenda penda ukichukia chukia.
Sijasema mimi, wamesema ccm na mabango wameandika wao.

Sisi tunawasikiliza hao CCM maana ndiyo wanaokutawaleni huko Visiwani
 
Acumen Mo watu wa mwanzo kula ugali watu wa pwani hata mihogo watu wa mwanzo kula ni wale wa pwani kwa sababu hayo mazo yote hayana asili ya Africa yaliletwa na Mreno. Na inajulikana Mreno alikuwa na contact na watu wa pwani kabla ya bara. Ndiyo maana watu wa pwani ni laini laini sana sababu ya kula ugali na bamia
😛 😛
 
Kuna mbuzi moja inaongea ITV sasa hivi anasema ukanda wa Pwani ilikuwa mali ya Zanzibar, bila kujua kuwa Sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na visiwa vile wanavyomiliki sasa hivi wazenji tu.

Jamaa ana sura ya kiarabu fulani hivi, kama kuongea muungano waongee tu ila waache kuleta sera za uongo kwamba kuna maeneo bara ni ya kizazibar.
Ameishasema Tanganyika chini Germany colony ilininua pwani na mafia mjadala umeisha
 
kamq vipi tuvinje muungano halafu tuanzishe vita ya kugombea mipaka sometimes amani ni mzigo
 
Back
Top Bottom