MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Mombasa si Kenya sababu Tanzania ina claim na si kwamba Mwarabu ana Claim.
Sultan yupo Zanzibar hadi 64 hakudai eneo lake, kwani Tanzania alivyo Pata Uhuru Sultan Alitaka eneo lake?
Waarabu ni wa fanya biashara hata kipindi huo ukanda ni wao hawakutumia kutawala watu bali local walitawala wenyewe na Waarabu walishirikiana nao kwenye biashara, Empire ya Zanzibar ilikuwa ni kama Mwamvuli kuprotect Empire ndogo ndogo za local. Kulikua na Equal status baina ya Zanzibar na hizo Empire za Makabila, waliamua kipi wauuze na kipi wasiuze.
Hata Ureno walipokuja kuvamia Local people walishirikiana na hao waarabu kupigana.
Hivyo waarabu popote penye Biashara wataenda ndio Maana sasa hivi kila bara utakuta matajiri Wakubwa Kuna waarabu wa kutosha.
Mombasa ilikuwepo hata kabla Tanzania haijabuniwa na mzungu, halafu nakwambia Mwarabu hana claim yoyote Afrika maana kawakuta mababu zetu, na kama aliuziwa jinsi anavyodai, yeye pia alimuuzia mzungu na kutia hela mfukoni, hana chake.