Jamaa anasema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa Pwani

Na wachukue tu sehemu za tuone hizi mbu zinazoishi Dar ati zinatuita sisi wabara zitaenda wapi.
 
Kuna mbuzi moja inaongea ITV sasa hivi anasema ukanda wa Pwani ilikuwa mali ya Zanzibar, bila kujua kuwa Sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na visiwa vile wanavyomiliki sasa hivi wazenji tu.

Jamaa ana sura ya kiarabu fulani hivi, kama kuongea muungano waongee tu ila waache kuleta sera za uongo kwamba kuna maeneo bara ni ya kizazibar.
Katumwa kupima upepo
 
Technically na wao Waliuziwa, historia ipo ila watu wanai ignore na kufuata tu Utashi wao.

Ukisoma Historia ya Kilwa utaelewa mengi tu.

Zamani maeneo mengi haya yalikua Mapori tu, Kuna watu wakaanzisha Empire zao mfano Mzuri ni Kilwa ambayo ilikuwepo ukanda wa Pwani kiongozi wake akiwa ni Almuli,

Wakati huo huko Persia (Iran ya sasa) kulikua na mwana Mfalme ambaye mama yake alikua mtumwa toka Africa Alishindwa kinyang'anyiro cha kua Mfalme akaja Kilwa akainunua kwa Almuli,

Utawala ukadumu miaka kadhaa baadae akaja akauziwa Mu oman, nae Utawala ukadumu mpaka Portugal alipovamia huu Ukanda, Portugal akakaa kwa muda baadae Oman akampiga Portugal na kuendelea kumiliki hadi mambo ya Ukoloni yalipokuja.

Hivyo ilikua kawaida watu kuuziana ardhi na hao Wanaopondwa ndio walionyanyua makabila mengi Tanzania, makabila yanayosifika sasa hivi kama Wachaga, Wahaya, matajiri Wa pwani etc Historia yao ina link na historia hii.

Brief history ya kilwa

Kwa hivyo tukifuata nadharia yako ya kuuziana, basi huyo mwarabu hana chake, alishauza na kutia hela mfukoni.
 
Hiyo ilikuwa biashara ya utapeli,

Hivi kwani kila mmoja akila hamsini zake ni dhambi?maana hawa wazenji wanaonaga tunawanyonya kumbe the viceversa is true....labda kama kuna ishu za kiusalama hapo sawa
 
Kuna mbuzi moja inaongea ITV sasa hivi anasema ukanda wa Pwani ilikuwa mali ya Zanzibar, bila kujua kuwa Sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na visiwa vile wanavyomiliki sasa hivi wazenji tu.

Jamaa ana sura ya kiarabu fulani hivi, kama kuongea muungano waongee tu ila waache kuleta sera za uongo kwamba kuna maeneo bara ni ya kizazibar.
Jitahidini kusoma, msikubaki kuondoka/kumaliza shule kama ujinga haujawatoka.
 
Kwa hivyo tukifuata nadharia yako ya kuuziana, basi huyo mwarabu hana chake, alishauza na kutia hela mfukoni.
Kwani mada inasemaje? Yani Nyie jamaa mna chuki mpaka zina Cloud judgement zenu, mada ipo clear inazungumzia past Tense,

"

Jamaa anasema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa Pwani"​

Anazungumzia Historia kwamba Zanzibar ilikua ni Ukanda wote wa Pwani kuanzia Msumbiji hadi Somalia, mpaka Mombasa ilikua ni zanzibar.

Tayari wewe na michuki chuki yako umeshatafsiri zanzibar wanaitaka Pwani ya Africa Mashariki.

Hao waoman sasa hivi Wana pesa Chafu hata hawana time na Hio pwani yenu.
 
Sio iliyogawiwa Berlin 1984?
Iliyogawanywa Ujerumani ilifanywa na wakoloni, iliyopokelewa kwenye uhuru ilifanywa na wakoloni vilevile. Hivyo sheria au amendment inayofuata ndio hutumika badala ya iliyotumika previous. Ukiwa unaitwa Michael kisheria, kisha ukabadili jina na kuitwa Rashid kisheria, jina litakalotumika kisheria ni Rashid.

Baada ya Berlin Conference bado kulikuwa na treaties mbalimbali kama Heligoland na inatumika hadi leo kwa nchi kama Namibia hadi Tanzania
 
Kwani mada inasemaje? Yani Nyie jamaa mna chuki mpaka zina Cloud judgement zenu, mada ipo clear inazungumzia past Tense,

"

Jamaa anasema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa Pwani"​

Anazungumzia Historia kwamba Zanzibar ilikua ni Ukanda wote wa Pwani kuanzia Msumbiji hadi Somalia, mpaka Mombasa ilikua ni zanzibar.

Tayari wewe na michuki chuki yako umeshatafsiri zanzibar wanaitaka Pwani ya Africa Mashariki.

Hao waoman sasa hivi Wana pesa Chafu hata hawana time na Hio pwani yenu.

Kama ni historia basi tuanze kabla ujio wa mwarabu...
 
Kuna mbuzi moja inaongea ITV sasa hivi anasema ukanda wa Pwani ilikuwa mali ya Zanzibar, bila kujua kuwa Sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na visiwa vile wanavyomiliki sasa hivi wazenji tu.

Jamaa ana sura ya kiarabu fulani hivi, kama kuongea muungano waongee tu ila waache kuleta sera za uongo kwamba kuna maeneo bara ni ya kizazibar.
Ooh kumbe una ujamaa na mbuzi?
 
Kuna mbuzi mmoja anaongea hivi ndio sawa.
 
Kuna mbuzi moja inaongea ITV sasa hivi anasema ukanda wa Pwani ilikuwa mali ya Zanzibar, bila kujua kuwa Sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na visiwa vile wanavyomiliki sasa hivi wazenji tu.

Jamaa ana sura ya kiarabu fulani hivi, kama kuongea muungano waongee tu ila waache kuleta sera za uongo kwamba kuna maeneo bara ni ya kizazibar.
Sisi watu wa bara kiswahili sio lugha yetu alipo sema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa pwani tatizo liko wapi?(ilikuwa inamiliki)au chuki tu ya kuwachukia wazazibar inakusumbua
 
In 1890 Germany took control of Mafia as a result of a purchase agreement with the Sultan of Oman and established the main house on the island called the German Boma. The ruins are prominent on the foreshore of the island. The German colonial government created Kilindoni in 1910-13 and Chole gradually withered as an economic centre, so many buildings have fallen into ruin.
Kwa hiyo bara ni aridhi ya mjerumani sio?
 
Huyo kavimbiwa uji aisee anataka kuja kuharishia huku bara tumpuuze.
 
Back
Top Bottom