Jamaa anasema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa Pwani

Jamaa anasema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa Pwani

Mambo mengine yanachekesha sana, yani Mwarabu atoke zake huko Oman aje kutua Zanzibar kisha auze ardhi ya Wandengereko, Wazaramo, Wasukuma, Wachaga, Wapogoro n.k kwa Wajerumani halafu watu watilie maanani upumbavu kama huo.
Kuwai kupata wakati huo bubu zako walikuwa wako huko mashimoni
 
Kwani mada inasemaje? Yani Nyie jamaa mna chuki mpaka zina Cloud judgement zenu, mada ipo clear inazungumzia past Tense,

"

Jamaa anasema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa Pwani"​

Anazungumzia Historia kwamba Zanzibar ilikua ni Ukanda wote wa Pwani kuanzia Msumbiji hadi Somalia, mpaka Mombasa ilikua ni zanzibar.

Tayari wewe na michuki chuki yako umeshatafsiri zanzibar wanaitaka Pwani ya Africa Mashariki.

Hao waoman sasa hivi Wana pesa Chafu hata hawana time na Hio pwani yenu.
Wanachekesha kwa chuki zao heti wanawachukia waarabu walio shikilia uchumi wa nchi hii kwa sehemu kubwa wao ndio walipa kodi na sjira binafsi waarabu awawapendi lakini kodi zao wanazitolea macho [emoji14]
 
Kama ni historia basi tuanze kabla ujio wa mwarabu...
Kabla ya muarabu ukanda huo haukuwa na watu waarabu wameanza kufika ukanda huo miaka zaidi 800 iliopita
 
Kabla ya muarabu ukanda huo haukuwa na watu waarabu wameanza kufika ukanda huo miaka zaidi 800 iliopita

Kutokua na watu haimaanishi ndio waje wajimilikishe na kuuza, sio lazima binadamu tuenee kote kwa mpigo, hata huko kwao walikotoka kulikua na maeneo ambayo hayakua na watu ila bado ilikua ardhi yao na mpaka leo ni ardhi yao.
Ndio upumbavu ulifanywa hata na wazungu wa kuja kujimilikisha maeneo, ila hao waarabu mnawatetea kisa pumba za kidini.
 
Hata Urusi na Algeria wana Ardhi kubwa ambayo haikaliwi na watu lakini siyo kusema eti Waarabu wakachukuwe tu Ardhi eti kisa Hakuna watu, hizi ni akili za wapi?

Kila viumbe walipewa Ardhi kwao na Mabara yakatenganishwa, kama ni point yake ni hiyo basi hata Makaburu South Africa ni Ardhi yao.
 
Wanauchukulia poa muungano hawa jamaa
 
Kwani huyo sultan alikuwa mzanzibar au Oman.

Sultan ni Mzanzibari ndugu, Mpaka leo anahesabika kama ni mkimbizi wa kisiasa kutoka Tanzania. Wabongo bado munahitaji elimu yakutosha kuhusu suala la Uraia.
 
Kama ni historia basi tuanze kabla ujio wa mwarabu...
Si nimeandika hapo juu? Karudie kusoma, ilikuwa inamilikiwa na Wazawa ikauzwa kwa Chotara wa ki persia na Africa ikaja ikauzwa kwa Mwarabu?
 
Kutokua na watu haimaanishi ndio waje wajimilikishe na kuuza, sio lazima binadamu tuenee kote kwa mpigo, hata huko kwao walikotoka kulikua na maeneo ambayo hayakua na watu ila bado ilikua ardhi yao na mpaka leo ni ardhi yao.
Ndio upumbavu ulifanywa hata na wazungu wa kuja kujimilikisha maeneo, ila hao waarabu mnawatetea kisa pumba za kidini.
Nimeamini maneno ya wahenga yasemayo ukimuona mtu anasema mwenzie kuwa mdini mtu huyo tambua ndie mdini,hapa tunajadili hapa ya kutetea imetoka wapi?habari ya udini imetoka wapi mbona wapo waarabu wapagani hata wakirito pia?kusema ukweli ndio Udini? nani asie jua kuwa waarabu wamefika ukanda huu wa afirika mashariki miaka mingi?hata afirika kasikazini
 
Hujui ulichokiandika unabwabwaja tu.
Ukweli ndio huo kumiliki aridhi ni hela yako tu hata kaburu wanamiliki nusu ya aridhi ya afirika kusini hapa tz wazungu kwa mgongo wa kanisa wanamiliki mahekali maelfu bila hela utamiliki aridhi wewe hapo ulipo inamiliki akali ngapi?watawala waliopita kasolo nyerere wote hao wanamili makali ya aridhi tatizo uwezo wa kuiendeleza hakuna
 
Sultan ni Mzanzibari ndugu, Mpaka leo anahesabika kama ni mkimbizi wa kisiasa kutoka Tanzania. Wabongo bado munahitaji elimu yakutosha kuhusu suala la Uraia.
Tatizo wabongo walio wengi wana chuki na waarabu hata ufahamishe vipi,awaamini kama hawa waarabu wanao waona ni watanzania wanayo haki kama walio nayo wao haki ya kumiliki aridhi kama watanzania wengine wabahaki ya kuchagua na kuchaguliwa kuongoza ngazi yoyote hile kama wakoloni wamewakuta na kuwaacha tena baadhi ya watz walikuwa hata awajulikani leo utawapeleka?nyerere kazaliwa kawakuta
 
Nimeamini maneno ya wahenga yasemayo ukimuona mtu anasema mwenzie kuwa mdini mtu huyo tambua ndie mdini,hapa tunajadili hapa ya kutetea imetoka wapi?habari ya udini imetoka wapi mbona wapo waarabu wapagani hata wakirito pia?kusema ukweli ndio Udini? nani asie jua kuwa waarabu wamefika ukanda huu wa afirika mashariki miaka mingi?hata afirika kasikazini

Mkisikia Mwarabu anatajwa huwa mnahemka sana, haya mambo ya kujilimikisha ardhi ya Wabantu yalifanywa na wazungu pia na hautaona au kuskia wanatetewa sehemu yoyote, ila nyie mnakesha mkitetea kisa ni Mwarabu.
 
Si nimeandika hapo juu? Karudie kusoma, ilikuwa inamilikiwa na Wazawa ikauzwa kwa Chotara wa ki persia na Africa ikaja ikauzwa kwa Mwarabu?

Mwarabu akauza kwa mzungu, naye mzungu moyo ukamsuta akaachia ardhi ya watu baada ya makelele akarudi kwao, mwarabu alipaswa naye hivyo hivyo arudi kwao sio kuanza kupigishia makelele.
Haya mambo nimeyaskia tangu kitambo ilipokua inasemwa Mombasa sio Kenya.
 
Mombasa si Kenya sababu Tanzania ina claim na si kwamba Mwarabu ana Claim.

Sultan yupo Zanzibar hadi 64 hakudai eneo lake, kwani Tanzania alivyo Pata Uhuru Sultan Alitaka eneo lake?

Waarabu ni wa fanya biashara hata kipindi huo ukanda ni wao hawakutumia kutawala watu bali local walitawala wenyewe na Waarabu walishirikiana nao kwenye biashara, Empire ya Zanzibar ilikuwa ni kama Mwamvuli kuprotect Empire ndogo ndogo za local. Kulikua na Equal status baina ya Zanzibar na hizo Empire za Makabila, waliamua kipi wauuze na kipi wasiuze.

Hata Ureno walipokuja kuvamia Local people walishirikiana na hao waarabu kupigana.

Hivyo waarabu popote penye Biashara wataenda ndio Maana sasa hivi kila bara utakuta matajiri Wakubwa Kuna waarabu wa kutosha.
 
Sultan ni Mzanzibari ndugu, Mpaka leo anahesabika kama ni mkimbizi wa kisiasa kutoka Tanzania. Wabongo bado munahitaji elimu yakutosha kuhusu suala la Uraia.
Wewe unaonekana ni mtoto wa mtumwa bado mindset yako ina harufu ya kuchapwa
 
Sio Pwani ya kwetu tu ni kuanzia pemba mozambique mpaka huko somalia ilikuwa inaitwa zanzibar kwa ujumla
Haikuwahi kuitwa Zanzibar,zanzibar ni pale Unguja na Pemba tu maeneo mengine kuanzia Mozambique,Lamu,Kismayo mpaka Dubai huko ilikuwa inaitwa Territory of Oman sultanate ambayo baadae sasa ndio hayo maeneo akamuuzia mjerumani
 
Back
Top Bottom