Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
- Thread starter
-
- #101
hao wanaojifanay wazenji wote ni wanyamwezi tu walienda huko wakati wa utumwa. hawana chochote wanachomiliki hata hapo zenji. kwa kifupi, sultan alimiliki wao pamoja na wake zao hadi mashamba yote. mikarafuu inamilikiwa na nani leo hii?Amedai "ilikuwa mali ya Zanzibar " ni kweli kwa sababu hata wewe unakiri kwamba Sultani aliuza kwa wajerumani.Sasa atauzaje eneo ambalo halikuwa kwenye milki yake?Au kiswahili kimekuwa kama kiingereza.Lugha ngumu?
Unalazimisha hata tofauti huoni π , ukanda pwani ndugu zetu ni zanzibar sio nyie wala ugali.
Sijasema mimi, wamesema ccm na mabango wameandika wao.Kusema unaweza kusema na mabango ukabeba lakini haizuii kwamba wanzazibari wapo kila aina.Waarabu,washirazi,, wahindi wamakunduchi, wapemba ,wangoni, wanyamwezi.Ukipenda penda ukichukia chukia.
π πAcumen Mo watu wa mwanzo kula ugali watu wa pwani hata mihogo watu wa mwanzo kula ni wale wa pwani kwa sababu hayo mazo yote hayana asili ya Africa yaliletwa na Mreno. Na inajulikana Mreno alikuwa na contact na watu wa pwani kabla ya bara. Ndiyo maana watu wa pwani ni laini laini sana sababu ya kula ugali na bamia
Ameishasema Tanganyika chini Germany colony ilininua pwani na mafia mjadala umeishaKuna mbuzi moja inaongea ITV sasa hivi anasema ukanda wa Pwani ilikuwa mali ya Zanzibar, bila kujua kuwa Sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na visiwa vile wanavyomiliki sasa hivi wazenji tu.
Jamaa ana sura ya kiarabu fulani hivi, kama kuongea muungano waongee tu ila waache kuleta sera za uongo kwamba kuna maeneo bara ni ya kizazibar.
Mbona mshampatia bandari ya Dar.we unaongea nini, mbona huna akili? mwarabu aje afanye nini sasa hapa?
Mtapiga mayowe sana na ubaguzi wenu lakini hamna cha maana mtakachoweza kufanya.Dundee United.Mbona mshampatia bandari ya Dar.
Salim A Salim tumekupata kati ya wanasiasa charismatic kuwahi kutokea nchini. Yani wewe na waripba mngeshika nchi 2005 tungekuwa mbali.Muungano tutaulinda kwa gharama zote.