Jamaa aoa wake 3 wa kizungu, aombwa asifanye kazi yoyote akae nyumbani kwa ajili ya kuwastarehesha kitandani

Jamaa aoa wake 3 wa kizungu, aombwa asifanye kazi yoyote akae nyumbani kwa ajili ya kuwastarehesha kitandani

Hiyo sura ya jamaa kwa waleeee wa kuleeee alafu dini si inasema mke mmoja
 

Huko nchini Marekani Mwanaume aliyeoa wake watatu amepata umaarufu na kutajwa kuwa mfano wa mwanaume mwenye familia bora iliyoshikamana na wake hao watatu wanaoishi kwa amani na mume wao ambaye siku zote hubaki nyumbani wakati wake zake wanatoka kwenda kufanya kazi.

Mkewe wa kwanza alifunguka kuwa mwanamume huyo anachoka sana kuwahudumia kitandani na hivyo basi wamekubaliana kama familia kuwa wampe muda wa kupumzika.

Nick Davis anasema hahitaji kwenda kazini kwani yeye ndiye mfalme na malkia wake wana mamlaka yote.

Toka ameoa wake zake hao watatu Nick anabaki nyumbani huku wake zake watatu, April, Danielle na Jennifer, wakitoka kwenda kazini, chombo cha habari cha Mirror kiliripoti.

Chanzo: Mirror
Hii ndio ile waingereza wanasema "better to be born lucky than gifted"
 
Kwani Kazi ni nini ?

Unaweza kunipa definition yake ?!!!

Nadhani kwenye hio definition utagundua kwamba hata yeye anafanya kazi (Specialization and Division of Labor)
 
Back
Top Bottom