Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Four seasons Seronera nimefanya kazi 2015 niliacha.Mie nililala 4 season porini huko.. stak kuongea mengi..😅
Ata Mimi nilishajifunza kuhusu hili kwenda maeneo expensive ilinisaidia sana upepo wa pesa kuanza kunipitiaPia akijizoesha hii tabia, ipo siku anaweza kujikuta ametengeneza connection itakayo msaidia kuimarisha uchumi wake.