Jamaa kajilipua kwenda kutoa wenge Serena Hotel, sasa anaikumbuka pesa aliyoitumia anajilaumu

Jamaa kajilipua kwenda kutoa wenge Serena Hotel, sasa anaikumbuka pesa aliyoitumia anajilaumu

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Jamaa ni bodaboda hapa Dar es salaam, juzi kaenda na boda yake mpaka Serena Hotel ili akatoe nuksi a.k.a kuushitua umaskini.
Kaagiza Biriani 40,000 na soda ya Mirinda kwa sh. 6500 jumla kuu ikawa sh. 46000.
Kapanda boda karudi kijiweni kwake na kuanza kujisifu.
A few moment later akaanza kujutia 46k yake.
 
Sasa 46K ndio hela ya kuiwaza na kujutia?

Hiyo hata ukisema uweke bajeti ya kula wiki haitoboi. Umasikini wa akili ni hatari sana.
 
Mie nililala 4 season porini huko.. stak kuongea mengi..😅
Four seasons Seronera nimefanya kazi 2015 niliacha.
Kipindi kile hotel bei ya chini ilikuwa 1.2 milioni, sasa hivi nasikia 1.5 m .
Wewe ulilala zile ghorofa za watumishi ambapo cost yake iko cheap
 
Sio mbaya, watu tumenunua magari 5m na hatujutii, yeye analilia 46k? Anyway weka namba yake nimtumie hiyo hela anyamaze
 
Back
Top Bottom