Ngoja nitafakari.Hapana usihofu sio kila sharobalo imeandikwa atafia muheza
Nimeenda sijamkuta embu mwambie namsubirNenda Pm ukabet labda utaeleweka mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbet ulifanikiwaje kula hela nyingi kiasi hiko?Kwa kwel kwa sku hz sjui hawa wabetishaji wanafanyaje,kuwin imekuwa ngumu sana,hatimae nmeamua kuiacha kazi hii,sasa npo nasomba matofali,ila nkikumbuka 2017/2016 mhindi(m-bet) Amelia sana
Sawa bibie..Tumefanana majina tu.
Naomba nifungulie dirishaNgoja nitafakari.
Mbona nimeomba mkuuInaonesha hujaomba kufunguliwa mlango.
Jamaa kabeti kwa mihemuko, we mtu unaweka laki 3 kwenye treni la timu! Angekuwa mjanja hio M3 kwa kucheza game za live ambazo uhakika sana angehitaji michezo isiozidi 10 tu ya odds 1.80 kuingiza zaidi ya million ndani ya masaa 2-3 tu! Tena kwa kuzungusha hio hio laki 3 moja hizo 2.7m zingekuwa safe!Ila milioni tatu palefu watu huwa wanaweka timu tatu tu za uhakika
Ni kama miujizaMbet ulifanikiwaje kula hela nyingi kiasi hiko?
Mikeka 10 yoote akapoteza..Ipo hivi, aliweka mikeka 10 kila mmoja Sh.300,000
ExactlyHiyo pesa aliyoliwa ni ndogo sana na anaweza kuirudisha kwa muda mfupi tu kama akiwa serious.
Nilikuwa mbetiji mzuri ila tokea 2015 nimeacha kubeti na kama kubeti haijafika mara 15 tokea 2015 mpaka sasaAkizinduka tena atatafuta buku ili akabeti tena! ukisha ingia huko huwezi kutoka,sijawahi kubeti na wala sitokuja kubeti,ni maamuzi yangu tu na kila mtu ana maamuzi yake kwenye maisha yake,Mpe pole sana jamaa yako.