Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

alibeti mikeka 10 @ 3,000,000
ina maana kwa lugha ya kihisabati
mikeka 10 kwa kila mkeka sh 3,000,000
10@3,000,000(10×3,000,000) = Sh 30,000,000/= ina maana anadaiwa kiasi hiki.
 
alibeti mikeka 10 @ 3,000,000
ina maana kwa lugha ya kihisabati
mikeka 10 kwa kila mkeka sh 3,000,000
10@3,000,000(10×3,000,000) = Sh 30,000,000/= ina maana anadaiwa kiasi hiki.
kumbe 10@300,000 upo sahihi mpe pole jamaa
 
Akizinduka tena atatafuta buku ili akabeti tena! ukisha ingia huko huwezi kutoka,sijawahi kubeti na wala sitokuja kubeti,ni maamuzi yangu tu na kila mtu ana maamuzi yake kwenye maisha yake,Mpe pole sana jamaa yako.
co ulijuaje kuwa ukishaingia huwezi kutoka!!
 
Kule nipo muda mrefu
 
Mimi nabet sana huwa naona raha kubet kila weekend natenga 20,000 za bia na 10,000 ya kubeti ikipigwa hiyo 10,000 sibet tena mpaka wiki ijayo lakini nashukuru mungu mtaji wangu wa kubeti ni kama 90,000 na muda wa kama miezi miwili sijaweka hela yoyote jana liverpool iliniongezea mtaji wangu.

Nashauri tusibet kwa malengo ya kupata kipato, bali iwe kama mchezo game.
 
Wee jamaa kubet ni maisha yakoo...! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh wewe ni zaidi ya Gambler......
 
Huo uzi wa mkeka unaitwaje (sidhani kama anaifuatilia jf)
 
Hahaha,aiseee..mil 6 ilikuwa ni stake kaka?
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…