Jamaa mwenye sura mbaya zaidi ashinda dolla 500 na Ng’ombe

Mgosi Mbena

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
499
Reaction score
604
Kutana na william Masvinu ambae ameshinda mara tano kwene shindano la mtu mbaya zaidi zimbabwe linaloenda kama Mr.Ugly
William anasema anandoto ya kwenda kimataifa.

Kama ni mpenzi wa meme utakua unamfaham.

Geuza changamoto kua fursa
Fursa kwa wote source: Africa fact zone

 
Mbona ni wa kawaida tu?!
Kimataifa hatoboi kama kukiwa na muamko watu wakajua hayo mashindano
 
Huyu mrembo ndiyo wanasema mbaya?
 
Huyo Mrembo tu kuna CHIZI wetu mmoja huku anakula kinyesi cha Ng'ombe na Nguruwe yaan huyo ni Zuchu labda Sura mbaya Zimbabwe Ila sio Bongo akijileta Bongo analetewa 1 tu KO ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…