Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Dah! Alikufa kifo kibaya maskini, hilo ndio tatizo la kuwa mbabe sana.!!Aliaacha,si ananijuwa
Sema badaye alikuja uwawa
Aliingia kwenye ujambazi
Walienda kufanya tukio na nahisi ndy la kwanza,waliposhtukiwa wenzake wakakimbia wakamuacha nyuma huku wakammaliza
Ova