Jamaa mwenye sura mbaya zaidi ashinda dolla 500 na Ng’ombe

Kuna mwana ana sura mbaya huyo hensamu, bodaboda anapaki Sinza kamanyora,wahuni wamemkaba wameiba pikipiki,wakamnyonya na mate kwa msisitizo...
 
🤣🤣🤣 Huyo km alikuwa na uwezo wa kula kunguru basi atakuwa na sura ya kutisha.!!
Hadi polisi walimkubali 😂

Inaonekana ulikuwa toto tundu wewe enzi hizo born town kitambo.!! 😂
Wahuni wa mwanyamala tena,alafu wakati mabaharia wahuni walikuwa wanatutamani
Kutukaba
Sema kipande kile nlikuwa na tag kubwa...enzi hizo utembe kuanzia kwa Ali maua mpk mango garden lazima ipigwe loba ya mbao ila kama wahuni wanakujuwa unapeta

Ova
 
Huyu hajamgikia hata yule Jamaa Sira mbaya aliyeoa pisi Kalii
 
Attachments

  • images (83).jpeg
    images (83).jpeg
    24.1 KB · Views: 1
  • images (84).jpeg
    images (84).jpeg
    28.6 KB · Views: 1
Wahuni wa mwanyamala tena,alafu wakati mabaharia wahuni walikuwa wanatutamani
Kutukaba
Sema kipande kile nlikuwa na tag kubwa...enzi hizo utembe kuanzia kwa Ali maua mpk mango garden lazima ipigwe loba ya mbao ila kama wahuni wanakujuwa unapeta

Ova
Juzi nilikua mitaa ya hapo mango ,

Nikakuta Uhuru pamefungwa halafu wamebandika mabango kuwa hairuhusiwi kuuza miili.

Nikicheka sana,
 
😂😂 mlikuwa mna balaa.!
Hapo ilikuwa undava undava!
Napenda mimi story za hivyo za ubabe ubabe.!
Kwahiyo sasa ikawaje yule jamaa yako alivyowaambia polisi watangulie alienda??
 
Mzee wangu salva atakuwa anafurahi maana vurugu ya pale
Alikuwa haipendi

Ova
 
😂😂 mlikuwa mna balaa.!
Hapo ilikuwa undava undava!
Napenda mimi story za hivyo za ubabe ubabe.!
Kwahiyo sasa ikawaje yule jamaa yako alivyowaambia polisi watangulie alienda??
Alienda badaye nkaenda kumchomoa
Alikuwa mwanangu sana
Zamani kulikuwa na ubabe sana
Ukivaa cheni wababe wanataka kukuvua 😄
Kuna siku hiyo baharia nlitoka safari kesho yake sasa ikawa mtungi nlianzia leaders pale usiku nkasema nkamqlizie langata sina wasi kinondoni kwangu ,ahh nkasema niende toilet nyuma nashikwa Bega kugeukaaa namuona Paul siza bondia wa uzito wa juu dah,akasemaaa dahh nlijuwa ngombe kumbe we baharia 😄 shingoni nna kamba nmevaa,nkamwambia siza hata mimi, wacha achekeee
Siza alikuwa anapiga ngumi na mkabaji 😄

Ukienda manzese kulikuwa na mtemi pia huko anaitwa santana

😂😂😂 kwahiyo siza aliacha hiyo kamba shingoni au alipita nayo??
 
Manzese ipi?
Pale manzese nna mabro wangu flan walikuwa wababe halafu matapeli balaa.!!
Kuna mmoja alivuta km miaka 5 imepita ss hivi. Alikuwa mpk na kiwanda cha pesa bandia
 
😂😂😂 kwahiyo siza aliacha hiyo kamba shingoni au alipita nayo??
Aliaacha,si ananijuwa
Sema badaye alikuja uwawa
Aliingia kwenye ujambazi
Walienda kufanya tukio na nahisi ndy la kwanza,waliposhtukiwa wenzake wakakimbia wakamuacha nyuma huku wakammaliza

Ova
 
Back
Top Bottom