Jamaa mwenye sura mbaya zaidi ashinda dolla 500 na Ng’ombe

Jamaa mwenye sura mbaya zaidi ashinda dolla 500 na Ng’ombe

Hayo mashindano nlikuwa nahudhuria sana kama mdau
Nakumbuka wajina masudi walikuwa wanamuambia rummy we mbn handsomeboy tu 😄

Ova
Ohhh.!! 😂😂😂
Mwaka gani hiyo?
Rummy yupi? Naye alikuwa na sura pasono sana?? 🤣
 
Huyu kwangu mbona mzuri tu, watu tuna sura ngumu, watoto wakigoma kula ama kuoga wanaambiwa "TUKUITIE MAKAVELI" 😂
 
Ohhh.!! 😂😂😂
Mwaka gani hiyo?
Rummy yupi? Naye alikuwa na sura pasono sana?? 🤣
Ilikuwa 96 ....masoud alupewa 50000/ remember hakukubaliana na matokeo 😄

Ova
 
Huu uchokozi sasa 😂😂
Miaka hiyo nlitaka kumuingiza mwanangu mmoja alikuwa mhuni
Alafu mtu wa makaburini pale kwa kopa,nlimpangaga nmpeleke
Alikuwa bonge la mhuni haha
Sura yake masud anasubiri...alikuwa anaitwa mashkulumbwe,huyo kuna siku polisi walimpiga ambush gheto kwake wakamkuta anawanyonyoa kunguru awapike
😄 polisi wenyewe wakagwaya
Akawambia watangulie kituoni yy atakuja
Sema changamoto mwanangu yule alikuwa na TB

Ova
 
Attachments

  • Screenshot_20240812_182235_Google.jpg
    Screenshot_20240812_182235_Google.jpg
    826.7 KB · Views: 3
Miaka hiyo nlitaka kumuingiza mwanangu mmoja alikuwa mhuni
Alafu mtu wa makaburini pale kwa kopa,nlimpangaga nmpeleke
Alikuwa bonge la mhuni haha
Sura yake masud anasubiri...alikuwa anaitwa mashkulumbwe,huyo kuna siku polisi walimpiga ambush gheto kwake wakamkuta anawanyonyoa kunguru awapike
😄 polisi wenyewe wakagwaya
Akawambia watangulie kituoni yy atakuja
Sema changamoto mwanangu yule alikuwa na TB

Ova
🤣🤣🤣 Huyo km alikuwa na uwezo wa kula kunguru basi atakuwa na sura ya kutisha.!!
Hadi polisi walimkubali 😂

Inaonekana ulikuwa toto tundu wewe enzi hizo born town kitambo.!! 😂
 
Back
Top Bottom