Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

Wakenya kwa kushadadia wazungu!

Yani mmeshindwa kusema Nairobi pamejengeka zaidi wenyewe mpaka mumtumie Mzungu?

Yani mzungu ndiye standard yenu?
Ndiyo maana wanasema wao ni English speaking country, what country doesn't have their own language mpaka unashabikia a bloody colonial language and even when they talk they talk funny. Kenyans, it's time you need to assess yourselves for real, it's a shame. You still have judges there wearing wigs to resemble White people (colonial masters). You people have mental issues kwa kweli, what is it about wazungu that are driving you guys crazy?
 
Huyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam
Huyo chizi tuu huyo kila akienda sehemu anasifu ili kuwachota akili
 
Huyo chizi tuu huyo kila akienda sehemu anasifu ili kuwachota akili

🀣🀣🀣
Ana maarifa pia huyo jamaa. Sasa walitaka afike huko, halafu aanze kuongelea issues za kibera na mathare!!!?
 
🀣🀣🀣
Ana maarifa pia huyo jamaa. Sasa walitaka afike huko, halafu aanze kuongelea issues za kibera na mathare!!!?
Wampeleke na huko , wasije kumdanganyishia hayo magorofa ya MABEBERU hapo mjini, afike na mombasa akaone maisha ya uswazi yalivyobanana
 
Wampeleke na huko , wasije kumdanganyishia hayo magorofa ya MABEBERU hapo mjini, afike na mombasa akaone maisha ya uswazi yalivyobanana

Wamempeleka sehemu zilizo dekiwa tu.
Washuke naye mpaka kule kwenye flying toilets.
🀣🀣🀣
 
It's definitely a great developing city, no doubt about that. The point is, it still plays catch up to Nairobi.

 
The way you take miguna to ignored list, is the way we do that to this trash so called tundu.
Need say more!!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna kitu kama hicho. Tundu Lissu is not Miguna Miguna equivalent. Tundu Lissu ndiye officiall opposition leader wa Tanzania. Mtu ambaye alimaliza number mbili katoka uchaguzi. Equivalent ya Raila Odinga huku Kenya.
Opposition wana rights sio kupigwa risasi. Unanikumbusha era za maiti Moi.
 
Kwa walioishi katika majiji makubwa zaidi wataona tu ni kama mnalinganisha ngogwe na bamia.

Vyote visindikiza mboga ila sio mboga.
 
Kuna siku nilikuwa nimeenda ofisini kwa mshua.

Kufika pale ofisi ya nje kwa sekretari, nikakuta watu wengi wanasubiri kumuona mkuu.

Nikaunga treni kukaa kusubiri. Tulikuwa weusi watupu.

Mshua akimaliza kuongea na mtu, anamtoa ofisini kwake mpaka ofisi ya nje kwa sekretari. Akawa anaona mstari mzima ulivyokaa nani anakuja next.

Sasa, akaja mzungu. Sekretari akamshobokea mzungu. Akamuweka mzungu mwanzo wa mstari apite watu wote waliokuwapo.

Mzungu akaenda kumuona mshua.

Basi mimi mtoto wa nyumbani nikawekwa mwisho. Nilivyomaliza, mshua akamsema sana yule sekretari.

Akamwambia, usimpitishe mtu kuruka mstari kwa sababu ni mzungu tu. Yule mzungu uliyemrusha mstari ni tapeli tu. Kuna watu wana biashara kubwa umewaacha umewaruka, umemtanguliza mzungu tapeli tu.

Sasa hawa ndugu zetu nao habari za kumshadadia mzungu wamenikumbusha sekretari wa baba yangu.
 
Huyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam
Sasa unakuwa zaidi ya mpuzi ....kwanza ukiwa timamu huwez conclude base on one person opinion sec ni kuwa mock amewa mock[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakenya kwa kushadadia wazungu!

Yani mmeshindwa kusema Nairobi pamejengeka zaidi wenyewe mpaka mumtumie Mzungu?

Yani mzungu ndiye standard yenu?
Hao jamaa wajinga wajinga Sana.

Huwaambii kitu kwa wazungu

Kuna mzungu mmoja kawasambazia virusi dada zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…