OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wikendi jana nilikuwa zangu kanda ya ziwa. Nikafikia lodge moja yenye sehemu nzuuuri ya kutulia na kula kinywaji.
Nyakati za jioni nikatoka nje kupunga upepo,kunywa wine huku nikipitia nyuzi za wakuu Jamiiforums. Pembeni kidogo kulikuwa na mtoto mzuri lakini anaonekana mapepe kama wale watoto wa Insta. Lakini yule mtoto hakuwa na raha. Muda mwingi alifokeana kwenye simu na mtu aliyeonekana ni bwana wake.
Mtoto alisikika akimlalamkia jamaa kwamba haiwezekani amuweke pale toka mchana kakaa hata hela ya maji hana. Basi kama kashindwa amtumie nauli aondoke. Kama kawaida mfariji nikaona fursa, nikavuta kiti karibu na kuagiza vinywaji kwa ajili yake. Ikawa akitaka bundle nampa, akitaka dakika nampa. Akaniambia anaishi na mdogo wake, nikamwambia na yeye tumnunulie bundle. 😂😂😂😂
Saa moja baadae nikamwambia tuingie chumbani tusije kufumaniwa. Tukachoma ndani kupitia mlango wa nyuma. Ikipofika saa 1 kagiza jamaa ndio anatia timu. Piga sana simu piga sana simu. Tuma sana sms. Kimyaaa.
Ujumbe wangu kwenu muache kufokea wapenzi wenu, hasa wanapokuwa hawana makosa. Onyesheni ukomavu na mapenzi ya dhati. Msipofanya hivyo mtalaumu wengine bure.