Ayatollah hajali ugumu wa maisha wanaopitia raia wa Iran.Halafu utakuta taifa hilo saivi ndilo linaloisaidia silaha super power wa mchongo Russia, baada ya russia kuishiwa silaha miezi 7 tu kwenye ile waitayo operation kule Ukrain
Utakuwa mwehu...useme mwenyewe umeambiwa ukaishi kifalme ...nikusupport nenda ukaishi kifalme niwe nimekasirika tena !!?? Maliza dawa kakaMbona kama umechukia?
Tigo hivi aliungana na mtandao gani vile?????Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Hahahahah nmecheka sanaWanaenda kukutoa figo au bandama watengeneze biological bomu la kumuuzia mrusi...
Utaishi kifalme ukiwa ndano ya bomu, maana akuna atakaye kugusa hovyo hovyo... si una fahamu mabomu huwa yana ishi kifalme
Inakutosha sana maana utatatuliwa marinda 🏳️🌈Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
mkuu unawaz ushoga sn mpk nahisi basher ako kaenda likizo , sasq unataka wa part timeKwa wafatiliaji wa Uzi wa Vita Ukraine,
Tunajua wazi mtoa mada uko mlengo gani,
Na huu Uzi umeuanzisha Kwasababu zipi[emoji4]View attachment 2395515
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wabongo akili ishapotea kitamboTigo hivi aliungana na mtandao gani vile?????
Hakuna kitimoto wala pombe wala malaya wa kujiuza kule hivyo dola mia waweza ishi kama mfalmeWenyewe wanaishi kama wafungwa wewe ndo ukaishi kama mfalme?
"If you gat big booty" utaenda kuyaponza huko IranNaomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
dunia haijawahi kuwa na matangazo ya vinyeroKwa wafatiliaji wa Uzi wa Vita Ukraine,
Tunajua wazi mtoa mada uko mlengo gani,
Na huu Uzi umeuanzisha Kwasababu zipi[emoji4]View attachment 2395515
Hata Zimbabwe ilikuwa na miji mizuri ila vikwazo vikaumaliza uchumi wao. Jamaa wa iran amesema thamani ya hela yao imeshuka sana hivyo mtu akiwa na dola anatamba.Huu ujinga mnaojazwa na Western media ipo siku.....
Nakuombea siku moja ufike Iran hata sehemu za vijijini achilia mbali maeneo ya mijini kama Tehran, Mashhad, Isfahan au Qum. Alafu uje utoe mrejesho hapa wa namna ulivyoiona Iran. Hata ukienda Dubai tu uliza wenyeji kuhusu wafanyabiashara kutoka Iran wenye makampuni pale.
Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app