Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

Halafu utakuta taifa hilo saivi ndilo linaloisaidia silaha super power wa mchongo Russia, baada ya russia kuishiwa silaha miezi 7 tu kwenye ile waitayo operation kule Ukrain
Ayatollah hajali ugumu wa maisha wanaopitia raia wa Iran.
 
Utakuwa mwehu...useme mwenyewe umeambiwa ukaishi kifalme ...nikusupport nenda ukaishi kifalme niwe nimekasirika tena !!?? Maliza dawa kaka
Naona unazidi kupaniki, tulia, kunywa maji baridi dogo.
 
Huu ujinga mnaojazwa na Western media ipo siku.....
Nakuombea siku moja ufike Iran hata sehemu za vijijini achilia mbali maeneo ya mijini kama Tehran, Mashhad, Isfahan au Qum. Alafu uje utoe mrejesho hapa wa namna ulivyoiona Iran. Hata ukienda Dubai tu uliza wenyeji kuhusu wafanyabiashara kutoka Iran wenye makampuni pale.

Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
 
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
"If you gat big booty" utaenda kuyaponza huko Iran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ujinga mnaojazwa na Western media ipo siku.....
Nakuombea siku moja ufike Iran hata sehemu za vijijini achilia mbali maeneo ya mijini kama Tehran, Mashhad, Isfahan au Qum. Alafu uje utoe mrejesho hapa wa namna ulivyoiona Iran. Hata ukienda Dubai tu uliza wenyeji kuhusu wafanyabiashara kutoka Iran wenye makampuni pale.

Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
Hata Zimbabwe ilikuwa na miji mizuri ila vikwazo vikaumaliza uchumi wao. Jamaa wa iran amesema thamani ya hela yao imeshuka sana hivyo mtu akiwa na dola anatamba.
 
mkuu unawaz ushoga sn mpk nahisi basher ako kaenda likizo , sasq unataka wa part time
Hao jamaa wana mambo ya kishoga ndio maana kila saa wanayawaza.
 
Hakuna kitimoto wala pombe wala malaya wa kujiuza kule hivyo dola mia waweza ishi kama mfalme
Mkuu Iran, dubai, saudi arabia, qatar, iraq, syria, turkey, egypt nk vyote hivyo vipo kwenye mahoteli
 
Back
Top Bottom