Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Nenda tu ukaolewe.
 
Huwa haukosi Cha kuiponda Iran eti maisha ya iran magumu km hyo Dola 100 hauwezi kuishi kifalme Tanzania ndio ukaishi Iran wakati uchumi wa Tanzania hata uuzidishe mara 20 hufiki iran
Hilo jamaa ni pumbavu sana,comments zake jf hua linawaza udini tu,hata hii thd kaileta kwa lengo hilo hilo,ni mtu mmoja mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri,inaonekana ni mtu aliyejikatia tamaa ya maisha.
 
Wanaenda kukutoa figo au bandama watengeneze biological bomu la kumuuzia mrusi...

Utaishi kifalme ukiwa ndano ya bomu, maana akuna atakaye kugusa hovyo hovyo... si una fahamu mabomu huwa yana ishi kifalme
[emoji23][emoji23][emoji23]we jamaaaa
 
Hilo jamaa ni pumbavu sana,comments zake jf hua linawaza udini tu,hata hii thd kaileta kwa lengo hilo hilo,ni mtu mmoja mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri,inaonekana ni mtu aliyejikatia tamaa ya maisha.
Acha kuleta udini hapa wewe stone kisser, mimi nimeuliza swali.
 
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.

Umejiunga sep 21, so nguvu zako zote umezihamishia kwa waislamu sio? Hapo umeongea wewe kama wewe, huna uhakika, huna ushahidi wowote wa hilo, chuki zinakusumbua,
 
Wewe acha kiherehere, unafuatilia wanaume umekuwa kahaba? Ukiona huna jibu la swali unapita kimya sio kuleta ujuaji wa kijinga.
 
USD 100 ukaishi kama mfalme Iran[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....labda mfalme ya ng'wasooo...yaani almost laki mbili na nusu za kibongo..ndio ukatanue Iran...[emoji1787][emoji1787]
 
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Enewei kama unafuata kifiro sawa
 
Wanaenda kukutoa figo au bandama watengeneze biological bomu la kumuuzia mrusi...

Utaishi kifalme ukiwa ndano ya bomu, maana akuna atakaye kugusa hovyo hovyo... si una fahamu mabomu huwa yana ishi kifalme
Tena mwambie watanyofoa na hizo pumbuz kabisa
 
Wewe acha kiherehere, unafuatilia wanaume umekuwa kahaba? Ukiona huna jibu la swali unapita kimya sio kuleta ujuaji wa kijinga.
Wewe choko una uanaume gani kiazi wewe? Mwanaume hawezi kua na akili inayowaza kukashifu udini tu,halafu hicho ki id fake kisikupe kiburi sana.
 
Sio Iran tu hata Uzbek,Indonesia etc ila huwez zifananisha hizo nchi na Tz
 
Back
Top Bottom