Hapana kama alifanya basi tukio linafanana tu, ni ndugu yangu, jamaa alikuwa na pesa na alikuwa anahonga vizuri tu.Ndio yule mshikaji anaitwa mng'ato ?
Mwisho wake ukawaje?Hapana kama alifanya basi tukio linafanana tu,ni ndugu yangu ,jamaa alikuwa na pesa na alikuwa anahonga vizuri tu ,ndugu zake wa kike wakaingia tamaa kwa jinsi jamaa alivyokuwa anahudumia familia ,so madada mtu wakaanza kujipendekeza ,jamaa naye akawa anatembeza rungu kama comrade kipepe.
Jamaa alikuja kutafuta maisha tu, akahama akaenda mkoa mwingine na ndipo uhusiano ulipokufa, ana mke ila si kati ya hao madada.Mwisho wake ukawaje?