mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Dada zake?? Like serious!!!!Hapana kama alifanya basi tukio linafanana tu,ni ndugu yangu ,jamaa alikuwa na pesa na alikuwa anahonga vizuri tu ,ndugu zake wa kike wakaingia tamaa kwa jinsi jamaa alivyokuwa anahudumia familia ,so madada mtu wakaanza kujipendekeza ,jamaa naye akawa anatembeza rungu kama comrade kipepe.