Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 920
Unajua mleta maada kwa Karne hii hupaswi kushangaa Mambo yenye kubeba uovu maana unayoyaskia na kuyaona ni madogo Sana hupaswi hata kushangaa maovu Cha msingi ni kushangaa Mambo yenye kuleta tija na kua na huluka nayo. Yaani kwa mwanadamu ukikusanya shuhuda za watu juu ya uovu kila mmoja anaweza kukuambia kisa chake ambacho hataweza kukisahau