Jamaa yangu anakula dada na mdogo wake

Jamaa yangu anakula dada na mdogo wake

Yanatokea sana hayo madudu na nina mfano wa wazi kabisa kwa jamaa mmoja mwenyeji wa bukoba ambaye alimuoa mwanamke ambaye walizaa naye but hakichukua miaka, baadaye akaachana naye muda mfupi tena akabeba mdogo wake wa aliyekuwa mkewe na yeye kazaa naye na bado anaishi naye mpaka sasa.

Jambo kama hili huwa siyo zuri na mwanaume anayefanya hivi kwa uchawi au zinaa haimpi sifa nzuri zaidi ya kuharibu haiba ya maisha ya watoto watakapokuwa wakubwa.

note: jamaa siyo njaa kali ni mtu mwenye nafasi kwenye vitengo vya serikali yenu.
Watu wa bukoba hyo tabia kwao ni kawaida kulana kuanzia dada mtu, mke Hadi mama mkwe ni kawaida tu ni mila hyo kabisa
 
Hivi ukitaka kula mdogo wa ex kuna shida? Maana kuna mdogo wa ex kanishobokea na nimeshampanga kakubali nile mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida. Huyo ni ndugu yake na x wako, sio ndugu yako!

Nje ya mada, hivi ni kwanini siku zote mdogo mtu hua ni mzuri kuliko dada yake? Mimi imeshanitokea zaidi ya mara mbili kuwataka wadada halafu baadae nikaja kuhamishia majeshi kwa wadogo zao.
NB: mara zote nilikua sijala dada mtu bado.
 
Yaani huyu jamaa ana roho ngumu sana kaamua kuchanganya wote maana mdogo mtu ni mzuri kuliko dada mtu ila kinachoniuma mdogo mtu bado anasoma na kingine zaidi najiuliza endapo kwa bahati mbaya iwe sasa jamaa ni mwathirika sasa si atakuwa kashawamaliza dada na mdogo wake? Kingine namlaumu sana huyu dada kumtambulisha mdogo wake kwa jamaa.

Nyie wanawake kwenye mahusiano msipende kuwatuma wadogo zenu kwa shemeji yao kwani baadhi ya wanaume sio waaminifu.
utopolo
 
Mileage ya dada Ni kubwa kuliko dogo
 
Mkuu..hiyo nayo ni kesi?
Kuna watu wanagonga mama na mtoto na safi tu.
 
Huyo rafikiyo na shemeji yake wote hawana ustaarabu.
 
Yaani huyu jamaa ana roho ngumu sana kaamua kuchanganya wote maana mdogo mtu ni mzuri kuliko dada mtu ila kinachoniuma mdogo mtu bado anasoma na kingine zaidi najiuliza endapo kwa bahati mbaya iwe sasa jamaa ni mwathirika sasa si atakuwa kashawamaliza dada na mdogo wake? Kingine namlaumu sana huyu dada kumtambulisha mdogo wake kwa jamaa.

Nyie wanawake kwenye mahusiano msipende kuwatuma wadogo zenu kwa shemeji yao kwani baadhi ya wanaume sio waaminifu.
Mkuu kawaida sana siku hizi hata usishangae hata siyo ajabu kabisa kwanza nimeshangaa hadi umeanzisha thread kama jambo la ajabu kumbe kawaida kabisa
 
Hao waliochanganywa nyumba nzima sijui wanajisikiaje wakishajua
Hawajielewi itakuwa ni zile familia za uswahili na hawana kipato kazi yao kudanga mtu mwenye manner's zake hawezi fanya ujinga huo aisee
 
Back
Top Bottom