Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

Miaka kadhaa hivi mtaa wetu, pembeni ya nyumba yetu kulikua babu mlinzi eti alikua mganga, analala kwenye gari bovu lililopaki hapo miaka.....

Dawa zake sasa anapaka kwenye chululuu yake halafu anawaingizia wateja wake hiyo dawa, na alikua na wateja yani wanapanga foleni, hadi kuna siku alikuja mwanamke muhindi nae kakaa anasubiria huduma.

Anapowapea tiba ni humo kwenye gari bovu.
 
Katambuga zinauzwa pale manzese darajani, jran na yule fundi baiskeli

Ni duka gan alipata bajaji mpya kwa milion nane? saiz bajaji si zimefika milion 10+

anyway, akihitaji dereva wa bajaji nko hapa.

Mimi sijui na Wala sikutaka kumbishia, tayari ameshanipiku, NI tajiri chipukizi.
MTU uliyekuwa unampa Pesa za Kula Leo kakupiga katafunua anausafiri wake utathubutu kumuuliza maswali maswali!

Naanza kumheshimu, ninapoelekea nitakuogopa Kabisa hasa akiagiza gari
 
😀😀
Watu wanaweza dhani NI Stori lakini haohao wanaobisha ndîo wateja wènyewe. Kama siô Kwa jamaa angu Basi Huko kwengine
 
kununua bajaji mpya kwa milion 8

Mkûu hata Mimi nisingeamini kama nisingeiona Bajaji yenyewe. NI mpya na hata Kadi Yake imeandikwa jina la Mshikaji.

Ningeweza kuisema imebandikwa pîcha ya Nani na maneno gàni ili kama upo Dsm na unatumia njia ya manzese Mbezi ungeiona
 
Mkûu hata Mimi nisingeamini kama nisingeiona Bajaji yenyewe. NI mpya na hata Kadi Yake imeandikwa jina la Mshikaji.

Ningeweza kuisema imebandikwa pîcha ya Nani na maneno gàni ili kama upo Dsm na unatumia njia ya manzese Mbezi ungeiona
Sawa kaka niombeepo kakibarua ka kuiendesha.
 
😀😀
Watu wanaweza dhani NI Stori lakini haohao wanaobisha ndîo wateja wènyewe. Kama siô Kwa jamaa angu Basi Huko kwengine
Kuna siku sista angu akawa anamsanifu..... Anamuuliza mbona najihisi kama nina shida naomba uniangalie, kile kibabu kikamshika mkono kikaanza kumuangalia kiganja kikamwambia
"naona umejaa masengenyo watu wanakusengenya sana, na huu upande wako wa kushoto wote umeoza, ngoja nikakuandalie dawa"

Kwakweli hiyo siku tulicheka huwa hatusahau. Ni ujinga ujinga tu ila ndio watu hela zinawatoka.
 

Mje na huku kwangu 😀😀😂
 
Wajinga ndio waliwao madam hata ww Kuna mahali unaliwaa atii sema ujui mpk usanuliweee😅😅
 
Uchaguzi unakuja, atazipiga Hadi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…