Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

Acha uongo bana hii chai
Mara laki mbili, laki moja na nusu laki mbili na nusu. Amka utajikojolea wewe
 
Katoboa kisangoma sio
Mtibeli hii story inafurahisha sana kama ni kweli jamaa kafanya timing ya maana.

Hawa si ndîo kina Kiboko ya Wachawi.
Tunawaponda lakini wenzetu wameona offside wakaitumia, alafu refa kaita Kati
 

Aisee imekosekana karafuu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…