Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

Wa TZ wanapenda sana miujiza ,ukiweza kuchonga ngenga vizuri utawapiga pesa MABUMUNDA mpaka uzichoke.
 
Hatari sana
Kuna jamaa yangu wa karibu naye anajifanya mganga 😄
Kwake wanaenda wanasiasa,watangazaji maarufu,
Wamama watu na kazi zao
Kuna watu nkiwaonega kwenye luninga huwa nacheka sana
Jamaa haipiti siku 3 lzm anipe hela za bia 😄
Nkimtingisha sikosi 50k mpk 100k
Tena jumatatu ngj nmtingishe
😄

Ova
 
Ww
Ww na yeye inabidi mchunguzwe mungu amefunua maovu yenu kupitia ww rafiki yake kwai atembeaye na mwizi ni mwizi
 

😂😂😂
 
Ukitaka kujua talent yako ,kosa pesa😁
 
Dogo unaifahamu mkubwa kwenye uganga

Kuna nguvu kubwa juu ya hii kitu
Inaitwa Mwana wa aliye juu Masihi mpakwa mafuta Yesu Kristo

Lakini unatakiwa kumwamini ka kumuishib na usiwe na haraka ya mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…