Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

Dogo unaifahamu mkubwa kwenye uganga

Kuna nguvu kubwa juu ya hii kitu
Inaitwa Mwana wa aliye juu Masihi mpakwa mafuta Yesu Kristo

Lakini unatakiwa kumwamini ka kumuishib na usiwe na haraka ya mafanikio

Haya maelezo wako Ràfiki yangu sangoma anayajua vilivyo sio ajabu kuliko wéwe. Lakini kwa sasa ni sangoma wa mchongo na anaingiza Pesa
 
Weka namba, hata humu wateja wapo. Haijalishi umesema ni muongo watu wataenda hivyo hivyo wakaaguliwe.
 
Jamaa yako ana akili sana. Wajinga nchi hii bado ni wengi sana. Ndio maana Manabii na Mitume wa bongo wanapiga pesa za kina mama kila uchwao na hawakomi. Mjinga akiibiwa msanue akiendelea kuibiwa achana naye.
 
Anzisha nawewe kilinge tuone kama utanunua hata beskali unadhani watu niwajinga kiasi hicho??
 
NIna mshikaji wangu baada ya kumaliza four akapangiwa 5&6 tosa, hajakaa sana akaanza vituko shule hataki tena na kitabu kilikuwa kinapanda vizuri tu, ikabidi akatishe masomo akaingia mtaani na deal la uganga hasa huo wa kuaguwa na kusafisha nyota, Tumekuja kumaliza 6 jamaa alishakuwa milionea wateja wake wakubwa walikuwa wanasiasa hasa wale waliokwisha fika level za juu, unaambiwa jamaa alikuwa anakatiwa ticket za kwenda nje ya nchi ili akamtibie mteja wake huko.
 
Hii story kama hujawahi kuona hizi mishe unaweza kuhisi utani. Ila pale Morogoro kuna chalii tena alisoma na mdogo wangu, ni kijana wa 1992 tu, alipotea ghafla kwa wiki moja bana.

Kumbe ile familia walikuwa wanatupanga, dogo alivorudi akawa mganga kitaa tukawa tukimuona tunacheka kinoma ila dogo allibadilisha maisha ya wazee wake pamoja na ndugu zake maana ilikuwa ni extended family kweli kweli.
 

😃😃
Hatari Sana Mkuu
 
Hii nzuri ngoja na mm niwapishe watu, nipe contact za jamaa ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…