Kwa mipango huyu jamaa nahisi ameniacha Mbali. Nilimwambia afungue Kanisa lakini alichonijibu nikabaki namwangalia. Jamaa kabadilika ghafla. Huu u-genius wa ukubwani huu
Kanisa sio Rahisi Hivyo kama wengine wanavyofikiri, kuna wachungaji wengi wamechoka kuliko hao wachache mnawaona,
Yani wachungaji wengine ni choka mbaya kwa takwimu isiyo rasimi ..makanisa 100 yanaoanzishwa ni kama 7, yanabaki mengine yanakufa, ukimuona mwamposa unaweza ukadhani kaibuka , anazidi ya miaka 30 kwenye utumishi,
Kanisa Ni Ngumu sana .
1. Kwanza lazima upate usajili sio mchenzo hapo M kadhaa zitakutoka
2. Upate ukumbi / eneo la kujenga hema ,hapo pia M kadhaa zitakutoka
3.upate music system hapo kama m kadhaa zitakutoka
4. Upate kwenda redio na kufany matangazo hapo pia kadhaa zitakutoka
5. Upate watu wasiopungua 5 ambao watawalipa , kama wapiga vyombo , watu wa Uongozi
6. Lazima uwe na Super Natura power ya Mungu au ya kishetani na penyewe kuipata m kadhaa itakutoka
7. Lazima uwe na hela za kugawia watu kama charity...wengi wanakuja kanisa wanaitaji hela kuliko kutoa unavyofikiri.
Mtu akitaka kuanzisha kanisa kama hana mil 30 , wala asijaribu maana hataona picha ambazo hajawai kuziona....
Ila ukiwa na wito, hata kama hauna mia unaanza.