Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hao bado hujawafahamu wanataka Malinzi angewafanyia nini?eti kwa kuwa walimpigia kampeni hapa walitaka Malinzi awakumbuke kwenye ufalme wake kwa kuwalipa fadhila mifukoni mwao na si kufanya haya maendeleo ya soka anayoyafanya. Kama unakumbukumbu sawa mwaka mmoja tuu Malinzi alipokuwa madarakani ndipo hawa wanaojitapa kumpigia kampeni hapa walianza kumsakama kwa maneno haya haya kwa hiyo usishangae huu ni mwendelezo tuu hawajaanza leo.Ni kweli mlimpigia kampeni na akashinda amekuwa rais wa tiefuefu!
Semeni mlimtuma akacheze mpira?
Aurudishe mpira wenu wewe na nani na huo mpira ulikuwa wapi na sasa hivi upo wapi?Tunamtaka Ally Mayai aurudishe mpira wetu tumechoshwa na wapiga dill
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza....Unaifanya kazi yako vizuri sana.
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza....
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Matokeo yakitoka usisahau kuja kufuta hii kauli yako hapa.Malinzi anajitembeza mpaka kakuajiri.
Matokeo yakitoka usisahau kuja kufuta hii kauli yako hapa.
Kwani mlimtuma afanye nini?
Orodhesha mliyomtuma utaje na ilani mliyomkabidhi.
Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe na mipango kabambe ya kuhakikisha kuwa soka linapaa katika uso wa dunia huyo jamaa alichofanya mpaka sasa hamna,Ataje walichomtuma awafanyie wakati wanamchagua.
Mkuu mimi anikumbuke kwa lipi atanisaidia nini huyo jamaa labda mawazo ila siyo pesa ninazo zinanitosha !Hao bado hujawafahamu wanataka Malinzi angewafanyia nini?eti kwa kuwa walimpigia kampeni hapa walitaka Malinzi awakumbuke kwenye ufalme wake kwa kuwalipa fadhila mifukoni mwao na si kufanya haya maendeleo ya soka anayoyafanya. Kama unakumbukumbu sawa mwaka mmoja tuu Malinzi alipokuwa madarakani ndipo hawa wanaojitapa kumpigia kampeni hapa walianza kumsakama kwa maneno haya haya kwa hiyo usishangae huu ni mwendelezo tuu hawajaanza leo.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Achana nao mkuu wapiga kura tunajijua usibishane na watu walioko nje ya mfumo wa tffHuo ni wivu na chuki dhidi ya Malinzi na hatuwashangai ndio msimu wenu huu kipindi hiki.
Mtu yeyote akifanya jambo jema kwa manufaa ya watu wengi lazima apewe sifa zake na mtu huyo huyo akichafuliwa na watu wachache wanaotaka kulipwa fadhila mifukoni mwao lazima watu wenye mapenzi mema tuwakemee hadharani.shikamoo Frank wanjiru, Mungu tusamehe wa Tz tuliokua tunaamini kuwa waha ndo wabishi tukamsahau huyu jamaa, tusamehe sana haturudii tena kusema vitu bila utafti wa kutosha
Ni mara ngapi Malinzi kwa kushirikiana na kamati ya utendaji ya TFF wanawekaga mipango yao hadharani hususani kwa timu za Taifa Stars na ile ya Vijana. Baadae wanaokuja kuwaangusha ni wachezaji uwanjani,je mlitaka Malinzi na kamati yake waingie uwanjani wecheze labda ndio maana mnamtaka Mayai ili ikifikia hatua kama hii awe anaingia uwanjani na kucheza?. TFF imejitahidi sana kuja na mikakati mbalimbali yakuendeleza soka letu kwa program na mipango mbalimbali za vijana ambayo kwa muda mchache na mrefu ujao utaleta tija sana kwenye soka letu hii ni baada ya kuona kuwa wachezaji hawa wa sasa wa Taifa Stars hakuna sehemu watakapotufikisha sababu hawana misingi mizuri ya soka.Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe na mipango kabambe ya kuhakikisha kuwa soka linapaa katika uso wa dunia huyo jamaa alichofanya mpaka sasa hamna,
Kumbuka kwa sasa mpira ni biashara timu ya Taifa ina wadhamini bado wanapata gawio toka FIFA kwanini asitumie japo akili ya kujiongeza kusuka timu ya wapanga mikakati ili kuboresha maendeleo ya soka letu.
Yaani ukabila na undugu bila kusahau ukanda ni tatizo kubwa katika maendeleo yoyote.
[HASHTAG]#malinziMustQuit[/HASHTAG].
Hao wote unaowaita hapa kuja kukusaidia ndio walewale waliotegemea fadhila za Malinzi mifukoni mwao baada ya kumpigia kampeni hapa,kwa hiyo hawana jipya. Malinzi anafanya maendeleo ya soka letu hadharani kabisa na wala sio gizani na matokeo yake yataonekana hadharani muda mchache ujao. Kwa hiyo nyie endeleeni na vita yenu dhidi yake but wapiga kura wanafahamu kazi yake anayoifanya.Mkuu mimi anikumbuke kwa lipi atanisaidia nini huyo jamaa labda mawazo ila siyo pesa ninazo zinanitosha !
Jamal Malinzi alikua na team yake humu jamvini tena walitaka kumuengua kumbuka kipindi kile watu walishachoka akina Tenga basi wakaungana kumpigia kampeni huyo jamaa ebu angalia ata ID yake kuwa alianza kuwa member lini utakuta kipindi hicho hicho.
Sometime hizi anonymous ID zinafanya tunadharauliana sana hapa jamvini mi Leo nimeombe hela kwa Malinzi ili iweje ?
GENTAMYCINE Masunga Maziku Jr okwi boban sunzu Masuke na wengine njooni huku.
Mkuu kachukue form ugombee Urais halafu ukishashinda jaza maswahiba wako,kabila lako na watu wa kanda yako kama unaona hilo jambo ni rahisi sana kama unavyolihubiri hapa.Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe na mipango kabambe ya kuhakikisha kuwa soka linapaa katika uso wa dunia huyo jamaa alichofanya mpaka sasa hamna,
Kumbuka kwa sasa mpira ni biashara timu ya Taifa ina wadhamini bado wanapata gawio toka FIFA kwanini asitumie japo akili ya kujiongeza kusuka timu ya wapanga mikakati ili kuboresha maendeleo ya soka letu.
Yaani ukabila na undugu bila kusahau ukanda ni tatizo kubwa katika maendeleo yoyote.
[HASHTAG]#malinziMustQuit[/HASHTAG].
Unataka aihamishe bahari ailete kwenye ofisi pale KarumeBora tu aje agombee Hashim Rungwe tujue moja tu
Chama ni cha wanachama kww maslahi ya wadau, hili halina ubishi.Siyo kucheza mpira mkuu kiongozi lazima uwe na dira na Maono ya kiutendaji vinginevyo wewe hufai kuongoza.
Mkuu usikwazike na swali ninalokwenda kukuuliza.Mkuu ukiwa kiongozi lazima uwe na mipango kabambe ya kuhakikisha kuwa soka linapaa katika uso wa dunia huyo jamaa alichofanya mpaka sasa hamna,
Kumbuka kwa sasa mpira ni biashara timu ya Taifa ina wadhamini bado wanapata gawio toka FIFA kwanini asitumie japo akili ya kujiongeza kusuka timu ya wapanga mikakati ili kuboresha maendeleo ya soka letu.
Yaani ukabila na undugu bila kusahau ukanda ni tatizo kubwa katika maendeleo yoyote.
[HASHTAG]#malinziMustQuit[/HASHTAG].