Jamal Musiala Vs Jude Bellingham unaenda na nani?

Eti eeh?
Usisahau Jude alionesha ubora akiwa bvb wakati Jamal ni Bayern huoni tofauti hapo?

Mpaka Don Perez kumfuata Jude na kumuacha Jamal unafikiri kwanini?
Kamfuata Jude sababu bvb ni selling club, kuwakuza vijana wadogo na kuwafanya mastaa then kuwauza ni sehemu ya biashara yao, tofauti na bayern.

So ni rahisi zaidi kumtoa Jude bvb kuliko Jamal bayern.
 
Kamfuata Jude sababu bvb ni selling club, kuwakuza vijana wadogo na kuwafanya mastaa then kuwauza ni sehemu ya biashara yao, tofauti na bayern.

So ni rahisi zaidi kumtoa Jude bvb kuliko Jamal bayern.
Nakukumbusha Jude akiwa Madrid match kumi na goli kumi kafikisha na ni kiungo .

Kingine nadhani Jamal ni mkubwa kuliko Jude hiyo sio sababu sanaa
Wachezajj waliomzunguka Jamal Bayern utafananisha na wale wa hovyo pale bvb? Lakini dogo bado akashine.
 
Swali zuri
Ujue watu wana mahaba tu
Ukweli Jude is the best.
Kwa ile bvb mbovu lakini alikuwa anashine na kuibeba sana tu

Nenda kule Bayern sasa mwaka wa ngapi wanabeba? Kwanza pale Bayern muunganiko wa wachezaji ni mkubwa wengi wazuri
Tusisahau pale nyuma ya Jamal unamkuta kimmich! Imagine ..

Hata huko Madrid namba haizidanganyi Jude 10 match 10 goals!
 
Jude anakila kitu amekamilika kila idara. Jamal njee ya bayern anaweza kupoteana sana
 
Yaa Jamal ni mkubwa kwa Jude, amemzidi....miezi 4!!

Kwa uwezo wa kufumania nyavu tu, yaa Jude ni bora kuliko Jamal, lkn yakija masuala mengine km kuchezesha timu, kukokota mpira, kupiga chenga, kupiga pass za mwisho Jude anasubiri.

Xavi na Lampard nani alikua bora zaidi?
 
Wote ni bora kutegemea na mchezo wenyewe mwingine anasema lampard mwengine xavi
Walikuwa ni viungo wawili tofauti wanacheza namba tofauti lampard sana sana ungemkuta namba 8 xavi yeye sana sana 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…