Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
musiala namkubali kinoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jude yuko form tangu BVB,ni habari ingineTusidanganywe na form hasa magoli ya sasa ya Jude ila Musiala yule mtoto ananikumbusha enzi za Juan Roman Requelme kiufundi.
Kamfuata Jude sababu bvb ni selling club, kuwakuza vijana wadogo na kuwafanya mastaa then kuwauza ni sehemu ya biashara yao, tofauti na bayern.Eti eeh?
Usisahau Jude alionesha ubora akiwa bvb wakati Jamal ni Bayern huoni tofauti hapo?
Mpaka Don Perez kumfuata Jude na kumuacha Jamal unafikiri kwanini?
Mchezaji akishakuwa muingereza tu bas ujue hamna kitu ni upepo tu unambeba.
Nakukumbusha Jude akiwa Madrid match kumi na goli kumi kafikisha na ni kiungo .Kamfuata Jude sababu bvb ni selling club, kuwakuza vijana wadogo na kuwafanya mastaa then kuwauza ni sehemu ya biashara yao, tofauti na bayern.
So ni rahisi zaidi kumtoa Jude bvb kuliko Jamal bayern.
Ujue watu wana mahaba tuSwali zuri
Yaa Jamal ni mkubwa kwa Jude, amemzidi....miezi 4!!Nakukumbusha Jude akiwa Madrid match kumi na goli kumi kafikisha na ni kiungo .
Kingine nadhani Jamal ni mkubwa kuliko Jude hiyo sio sababu sanaa
Wachezajj waliomzunguka Jamal Bayern utafananisha na wale wa hovyo pale bvb? Lakini dogo bado akashine.
Wote ni bora kutegemea na mchezo wenyewe mwingine anasema lampard mwengine xaviYaa Jamal ni mkubwa kwa Jude, amemzidi....miezi 4!!
Kwa uwezo wa kufumania nyavu tu, yaa Jude ni bora kuliko Jamal, lkn yakija masuala mengine km kuchezesha timu, kukokota mpira, kupiga chenga, kupiga pass za mwisho Jude anasubiri.
Xavi na Lampard nani alikua bora zaidi?