6 ilikua namba ya jezi tu, ila Xavi alikua anacheza 8 akilindwa na Busquets nyuma yake.Wote ni bora kutegemea na mchezo wenyewe mwingine anasema lampard mwengine xavi
Walikuwa ni viungo wawili tofauti wanacheza namba tofauti lampard sana sana ungemkuta namba 8 xavi yeye sana sana 6
Nakukumbusha Jude akiwa Madrid match kumi na goli kumi kafikisha na ni kiungo .
Kingine nadhani Jamal ni mkubwa kuliko Jude hiyo sio sababu sanaa
Wachezajj waliomzunguka Jamal Bayern utafananisha na wale wa hovyo pale bvb? Lakini dogo bado akashine.
Kiukweli xavi alikuwa ni holding midfielder a kind of kiungo nusu mkabaji nusu mchezeshaji.6 ilikua namba ya jezi tu, ila Xavi alikua anacheza 8 akilindwa na Busquets nyuma yake.
Hata mashabiki lialia wa Chelsea hawawezi kukwambia Lampard alikua bora overall kuliko Xavi, ingawa alikua ana magoli mengi kuliko Xavi.
Na sasa tunaona matunda yakeJude amepunguziwa majukumu anatumika kuongeza creativity kwenye attacking
Hapana mkuu. Xavi ni Central Midfielder kuanzia Barca mpaka timu ya taifaKiukweli xavi alikuwa ni holding midfielder a kind of kiungo nusu mkabaji nusu mchezeshaji.
Same to lampard
Umenikumbusha Theo Walcot,Jack Wilshare,Childwick,Wayne Rooney nk.Jude Bellingham.
Ni mchezaji Mzuri mno mchezaji wa Daraja la Juu sana.
Anaweza akacheza Kila Aina ya mchezo.
1. Akiamua kukaba anakaba. (Tough game atakupa)
2.akiamua KUKIMBIA anakimbia.
3. Akiamua UFUNDI ni hatari.
4. Akiamua Kuishambulia Atashambulia..
5. Akiamua kufunga atafunga pia.
6 Pia akiamua kuchezesha timu Kwa Kila temple ataichezesha,
Passing za Kila namna Fupi na ndefu.
Kiungo Bora kabisa ana Technicalities za Hali ya Juu Mno.
Changamoto
Sema waingereza hawana guarantee.............
Mkuu ujue kunakuwaga na Central midfielder ambaye huwa anccheza nane au sits lakini majukumu tofautiHapana mkuu. Xavi ni Central Midfielder kuanzia Barca mpaka timu ya taifa
Dortmund ni kama brighton ukija na hela unachukua..Eti eeh?
Usisahau Jude alionesha ubora akiwa bvb wakati Jamal ni Bayern huoni tofauti hapo?
Mpaka Don Perez kumfuata Jude na kumuacha Jamal unafikiri kwanini?
Vitu viwili tofautiMkuu ujue kunakuwaga na Central midfielder ambaye huwa anccheza nane au sits lakini majukumu tofauti
Ndiyo huyo central midfielder kwani holding midfielder unaelewa vipi?
Ndio huyo sasa
Tungoje second legJamal kamaliza utata
Yaa second leg Jude anaweza fanya what he does best I.e scoring lkn Jamal kaonesha ni bora kiujuziTungoje second leg
Sawa mkuu ila kwangu jude ni bora kumzidi jamalYaa second leg Jude anaweza fanya what he does best I.e scoring lkn Jamal kaonesha ni bora kiujuzi
Xavi alikua Central midfielder ukiongelea mambo ya namba 6 ni vitu viwili tofauti na Central midfielder.. lampard alikua attacking midfielder na sio namba 8 kama unavosemaWote ni bora kutegemea na mchezo wenyewe mwingine anasema lampard mwengine xavi
Walikuwa ni viungo wawili tofauti wanacheza namba tofauti lampard sana sana ungemkuta namba 8 xavi yeye sana sana 6
Uongo mtupu na huwenda haufaham mpira ila umejiandikia tu.Kiukweli xavi alikuwa ni holding midfielder a kind of kiungo nusu mkabaji nusu mchezeshaji.
Same to lampard
Holding na Central midfielder ni vitu viwili tofauti na majukum tofauti kabsa uwanjanMkuu ujue kunakuwaga na Central midfielder ambaye huwa anccheza nane au sits lakini majukumu tofauti
Ndiyo huyo central midfielder kwani holding midfielder unaelewa vipi?
Ndio huyo sasa
Mkuu naona umekuja juu sana soma sawia hujaelewaXavi alikua Central midfielder ukiongelea mambo ya namba 6 ni vitu viwili tofauti na Central midfielder.. lampard alikua attacking midfielder na sio namba 8 kama unavosema
Hivi bado huwa mnaongelea kuhusu mpira kwa kutaja sijui namba sita mara namba nane? Muelezee mchezaji kwa role yake uwanjani na sio namba.Xavi alikua Central midfielder ukiongelea mambo ya namba 6 ni vitu viwili tofauti na Central midfielder.. lampard alikua attacking midfielder na sio namba 8 kama unavosema
Jude ni mtu.Wewe ndio kocha kwenye timu yako, unatakiwa uchague mmoja kati ya Musiala au Bellingham kwenye kikosi cha kwanza unaenda na nani?