6 ilikua namba ya jezi tu, ila Xavi alikua anacheza 8 akilindwa na Busquets nyuma yake.Wote ni bora kutegemea na mchezo wenyewe mwingine anasema lampard mwengine xavi
Walikuwa ni viungo wawili tofauti wanacheza namba tofauti lampard sana sana ungemkuta namba 8 xavi yeye sana sana 6
Hata mashabiki lialia wa Chelsea hawawezi kukwambia Lampard alikua bora overall kuliko Xavi, ingawa alikua ana magoli mengi kuliko Xavi.