Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hongera.
Mie Ritz angekuwa si shemeji yangu, ningem-beba, btw ndio hvo tena.
Ila nitakuunganishia, ondoa shaka.
Mie niko na ZeMarcopolo tu.
Sijui huyu kijana kanipa nini!
Kha, mpaka najishangaa.
Hebu ninyamaze mie.
Swits jinsi unavyonitafutia wapiga kura hasa kundi la wanawake kweli sikukosea kuchagua.Wewe ni mahiri
Nawaasa wanasiasa wenzangu hasa ambao hawajaoa/kuolewa wawe makini katika kuchagua
Madam B ukiniunganishia kwa huyo kijana haki ya mama
Ben Saanane kura yangu na familia yangu 2015 anayo.
Sasa ujumbe huu wape makamanda wenzio akina Mungi, Filipo, Arushaone my Ex, Erickb52, Kaizer, Mzee wa Rula, PakaJimmy wachague wanawake makamanda kama mie...lol.
Hivi nikikuweka kundi moja na ZeMarcopolo mta-match?
Bado hujajibu swali ZeMarcopolo...
Hongera.
Mie Ritz angekuwa si shemeji yangu, ningem-beba, btw ndio hvo tena.
Ila nitakuunganishia, ondoa shaka.
Mie niko na ZeMarcopolo tu.
Sijui huyu kijana kanipa nini!
Kha, mpaka najishangaa.
Hebu ninyamaze mie.
Si unajua naona AIBU ati...
Hapa sura yangu yote imewiva, halafu sijui cha kufanya sasa!!!
Dodo chini ya mnazi...
Madam B ukiniunganishia kwa huyo kijana haki ya mama
Ben Saanane kura yangu na familia yangu 2015 anayo.
Atakua shetani ndiye kamuanindika Heaven on earth. Kwa mkono wake hawezi. Mia
hahahahahahahUsinisingizie bureeeee...hebu msome mmke mwenzio hapa lol
Hujambo lakini christine ibrahim? Chap chap sana hii naona
CC Teamo Asprin Fidel80
babe figganigga hakuna wa kukupokonya,mie ni wako
ww unampenda wakat mm ndo nmempenda ulikuwa wap sk zote
hahahaaa.... Kwani pacha wangu umesha mdampo!!!!
Teeeh!
Pacha wako hanipendi, ataka pesa wakati mie sina kitu! Passion Lady ona huku wenzetu wanapendana...
nipo hapa mdogo wangu mpenzi beibe nasty, si unajua majukumu kusaidiana!
Hvo namsaidia shemejio ben saanane tunyakue jimbo mojawapo 2015!
Nawakumbuka sana wadogo zangu, wewe queen kan, miss strong na wifi chocs.