Lady doctor umenibania sana yani, lakini totoz limeingia kwenye yard yangu...Eli79 huyo mbona wako, mwambie kabisaa anze kumuaga Ruttashobolwa
My wii mbona sasa hujatangaza nia?!
hahaha! Na zilivyo ndefuuu! Kama namuona!
Lady doctor umenibania sana yani, lakini totoz limeingia kwenye yard yangu...
Uone sasa mahaba yangu, hata wewe utatamani kumuacha.......
hahahaaa...... Mshipa wa kutamani niliuacha pale mazabahuni kwa baba paroko baada ya ndoa!
Kumbe hata mijitu ya Ciciem inajua kupenda ee, sishangai S W kuibuka na h on earth humu.
Mic u mingi ma dear PL
Lady doctor kam zis wei...
hatimaye my dream lady is in love with moi.. Passion Lady unachitaka utapata we sema tu jioni nikirudi nipitie maduka ya wahindi..
Passion Lady hana mzuka na mzuka na shemale, anataka mwanaume wa nguvu.
mic u too honey!!r' u okay swr?!!my akanana Passion Lady how are you? Miss you much.
duh mi majina ya christine na Neema huwaga cwapati ng'oo...kifupi cna bahati nao...Siri ya nn!?mambo hadharani ndo mpango mzima....
...Madhara ya PM kushare!
Teh teh
DADDY BORA UMEMJIBU HUYO MAANA MM NINGEMPA MAKAVU LIVE HAHAHAHAHAAAChristine wa JF ndio nani?
Halafu wewe ndiye mwenye shida halafu unataka ndio uwe wa kwanza kuandikiwa PM...mbona hujiamini hivyo?
UNAKUMBUKA NAWE KIPINDI KILE ULINIFALL IN LOVE AU UMESAHAU? HAHAHAHAHAAAAAAAAC.C Ben Saanane...
Daddy yangu alikufall in love lini tena?UNAKUMBUKA NAWE KIPINDI KILE ULINIFALL IN LOVE AU UMESAHAU? HAHAHAHAHAAAAAAAA
mwanzoni mwa mwaka jana kabla hawajamkolimba humu (banned) akaenda kwa daddy yangu Watu8 na kumwambia kuwaDaddy yangu alikufall in love lini tena?
Sasa huyu daddy yangu nina muda sijamuona humu. Sijui yukwapi jamani[emoji17]mwanzoni mwa mwaka jana kabla hawajamkolimba humu (banned) akaenda kwa daddy yangu Watu8 na kumwambia kuwa
amenipenda mm anataka kufunga pingu zote za duinia hii kwangu hahahahahahaaaaaaaaaaaa