Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Lady doctor umenibania sana yani, lakini totoz limeingia kwenye yard yangu...
Uone sasa mahaba yangu, hata wewe utatamani kumuacha.......

hahahaaa...... Mshipa wa kutamani niliuacha pale mazabahuni kwa baba paroko baada ya ndoa!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa...... Mshipa wa kutamani niliuacha pale mazabahuni kwa baba paroko baada ya ndoa!

Acha we!
Hamna kitu ya namna iyo mamito....hata walioko kwenye ndoa wanatamani, basi tu hawana ujanja...
 
Kumbe niliwahi mkumfia mutu huyu, halafu simuoni sijui kajichimbia wapi
 
Christine wa JF ndio nani?

Halafu wewe ndiye mwenye shida halafu unataka ndio uwe wa kwanza kuandikiwa PM...mbona hujiamini hivyo?
DADDY BORA UMEMJIBU HUYO MAANA MM NINGEMPA MAKAVU LIVE HAHAHAHAHAAA
 
Daddy yangu alikufall in love lini tena?
mwanzoni mwa mwaka jana kabla hawajamkolimba humu (banned) akaenda kwa daddy yangu Watu8 na kumwambia kuwa
amenipenda mm anataka kufunga pingu zote za duinia hii kwangu hahahahahahaaaaaaaaaaaa
 
mwanzoni mwa mwaka jana kabla hawajamkolimba humu (banned) akaenda kwa daddy yangu Watu8 na kumwambia kuwa
amenipenda mm anataka kufunga pingu zote za duinia hii kwangu hahahahahahaaaaaaaaaaaa
Sasa huyu daddy yangu nina muda sijamuona humu. Sijui yukwapi jamani[emoji17]
 
Back
Top Bottom