Jaman kweli Tanga raha!

Hahahaaaa. [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Ngoja nikakumbuke nakuja na jibu muda huu huu sababu ile ngoma iache bana. [emoji125] [emoji125]
usiite ngoma Lile ni goma la tanga! mana sio la mchezo mchezo! je ulishawahi kusikia ile inayo imba "masham sham x2 goma la tanga,tanga tanga, tanga jiji hilo."ila sio baikoko asili.
subiri niingie kwenye daladala ya mikanjuni alaf nitashuka pale *mbwa kachoka*.
 


Wacha ujinga mkuu, Tanga hakuna mapenzi bali ushirikina tu. Mwanamme unachotwa hisia zako na kuhisi unapendwa kumbe umeshafanywa zezeta tayari.
 
hebu nishawishi vzur, ila nkija we ndo utakua mwenyeji wangu unitembeze pangani na amboni
Umeona sasa hiyo ndio sifa yetu wanawake wa Tanga nimekushawishi kwa lugha laini kabisaaaa pasi ugomvi naona umeanza kuja kuja. [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Usijali ntazidi kukushawishi na ukiona panakufaa karibu sana mie ntakuwa mgeni wako.
 
"Tanga Tanga Tanga Tanga jiji hilooo. Lol Wagosi wakaya ndio wameimba.

Naufahamu sana tu.
 
[emoji23] [emoji23] binamu yako anataka kunifanyia ukauzu kbsa, nasubir mwaliko wako hajar
Hahahaa. Usijali ila nitaanza kukushawishi kwanza ukishakubali basi nakufungulia mlango wa kukaribia Tanga na mie kuwa mwenyeji wako. Teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…