Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa. [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kweli achananayo hayo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa. [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kweli achananayo hayo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hapa Dada yangu nimejaa teleeudugu hazina yetu cc hajar mwifwa Davet
Hahahaa. Ungejua watu wanavyokulilia yaani we mwenyewe ungeacha hizo mawazo ukaja tu uone Tanga na watu wake.[emoji23] [emoji23] [emoji23] huko bdo hamjanishawishi kuja, labda huyo mwajuma biringi nikutane nae nje ya tanga
hebu nishawishi vzur, ila nkija we ndo utakua mwenyeji wangu unitembeze pangani na amboniHahahaa. Ungejua watu wanavyokulilia yaani we mwenyewe ungeacha hizo mawazo ukaja tu uone Tanga na watu wake.
usiite ngoma Lile ni goma la tanga! mana sio la mchezo mchezo! je ulishawahi kusikia ile inayo imba "masham sham x2 goma la tanga,tanga tanga, tanga jiji hilo."ila sio baikoko asili.Hahahaaaa. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ngoja nikakumbuke nakuja na jibu muda huu huu sababu ile ngoma iache bana. [emoji125] [emoji125]
Muache binamu wang nitakutembeza mimi.hebu nishawishi vzur, ila nkija we ndo utakua mwenyeji wangu unitembeze pangani na amboni
huku kwetu bwana aloo,mapenzi yalipo zaliwa ni soo,kuna goma likipigwa kiboko,mwari hakirudi harusini,harusini,
utakuta watu wakicheza sukuma mama sukuma,mwanangu sukuma,kidogo dogo sukuma,mwana mama sukuma,mwanakombo sukuma,mwajuma sukuma,kidogo dogo sukuma.
Tiriri mwajuma tiriri,tiriri mwanangu tiriri,tiriri mama tiriri.
sasa ilo goma ndio ulifungulie ukiwa chumbani na beib we hakika unampa hamasa kwelikweli hapo ndio utajua hilo ni goma la wapi? warning Do not try this at guest house!
Tahadhari 2; kama hauja kaza usijaribu unaweza ukakatika(dushe)
haya mdog wanguNipo hapa Dada yangu nimejaa telee
Umeona sasa hiyo ndio sifa yetu wanawake wa Tanga nimekushawishi kwa lugha laini kabisaaaa pasi ugomvi naona umeanza kuja kuja. [emoji122] [emoji122] [emoji122]hebu nishawishi vzur, ila nkija we ndo utakua mwenyeji wangu unitembeze pangani na amboni
Zawadi ya pasakaView attachment 725902
sisemiiii naoooooooousiite ngoma Lile ni goma la tanga! mana sio la mchezo mchezo! je ulishawahi kusikia ile inayo imba "masham sham x2 goma la tanga,tanga tanga, tanga jiji hilo."ila sio baikoko asili.
subiri niingie kwenye daladala ya mikanjuni alaf nitashuka pale *mbwa kachoka*.
mkuu mwanaume anatembezwa na mwanamkeMuache binamu wang nitakutembeza mimi.
"Tanga Tanga Tanga Tanga jiji hilooo. Lol Wagosi wakaya ndio wameimba.usiite ngoma Lile ni goma la tanga! mana sio la mchezo mchezo! je ulishawahi kusikia ile inayo imba "masham sham x2 goma la tanga,tanga tanga, tanga jiji hilo."ila sio baikoko asili.
subiri niingie kwenye daladala ya mikanjuni alaf nitashuka pale *mbwa kachoka*.
Eti yule Mariamu wa Migomba aliyekuwa anatangaza kipindi cha taarabu(miondoko ya pwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] )TBC 1 kipindi cha nyuma naye ni mtu wa pande hizohaya mdog wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.mkuu mwanaume anatembezwa na mwanamke
[emoji23] [emoji23] binamu yako anataka kunifanyia ukauzu kbsa, nasubir mwaliko wako hajar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.
wew hataar sana hiko kipande nime kimanya!sisemiiii naoooooooo
Hahahaa. Usijali ila nitaanza kukushawishi kwanza ukishakubali basi nakufungulia mlango wa kukaribia Tanga na mie kuwa mwenyeji wako. Teh teh.[emoji23] [emoji23] binamu yako anataka kunifanyia ukauzu kbsa, nasubir mwaliko wako hajar
Binamu sio kwa wivu huo aiseee. Waogopa eeee?Muache binamu wang nitakutembeza mimi.
hahahah, zile story za ukifika usahau kurud kwenu bdo zipo??Hahahaa. Usijali ila nitaanza kukushawishi kwanza ukishakubali basi nakufungulia mlango wa kukaribia Tanga na mie kuwa mwenyeji wako. Teh teh.