ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhaaaa. Hapo inategemea ila zisikutishe bwana. Teh.hahahah, zile story za ukifika usahau kurud kwenu bdo zipo??
hahaha eti zisinitishe, wkt nshamuona mikononyuma kashadata kwako mapema kabla hata hajafika huko tanga, siku akija nadhani hatorud kbsHahhaaaa. Hapo inategemea ila zisikutishe bwana. Teh.
amna binam namuonea kuruma uyo mshkaj mana ukimtembeza wew utamfanya asahau kwao.Binamu sio kwa wivu huo aiseee. Waogopa eeee?
Khaaa kumbe mkuu na wewe umetokea huko?hahha nimekuja dada
Hizi ni tofauti mkuu,hizi miksa kuvua nguo kiongozi.Ivi hizo ngoma ni kama zile za wapiga taarabu eehh??
ha ha ha ha mkuu angalia usije uka overzoom ukakosa kuona clearly ulichokusudia.Nawazooom tu..
ha ha ha ha mkuu wewe ulipunguza?Hii week end watu hamkupunguza uzito?? Nyuzi nyingi za vitombo tu!
Sio kwa waishio dar aisee maana hili jiji linajua kuwabadilisha watu sio masikhara.Zidi tu kusisimkwa Mkuu sababu ndio ukweli huo. Yaani sie huwa hatuombi pesa bali mtu anajikuta anatoa kwa moyo wake mweupeeeee. Teh teh.
Nitakuwakilisha mkuu,wewe nikutakie tu safari njema huko utakapokwenda.Nimekuelewa vizuri sana Dada yangu, mimi muda huo inaweza kunikuta mkoania maana nina project huko kwa kipindi hiki cha lala salama
Sio majini tu mkuu,hata mashoga pia ndio nyumbani kwao kule.huko tanga c ndo kuna majini?
hahha nakipenda hatarwew hataar sana hiko kipande nime kimanya!
haha yaan tanga ndo homeKhaaa kumbe mkuu na wewe umetokea huko?
tarataraaaa tarararaaaaa tarariraaaa hatanikisema[emoji445] wengine wataniponda sisemiii nao sisemi naoo mimi sisemi nao mashilawadu sisemi nao sisemi nao macho kuona najua hutoniamini chungulia utaona [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji108] [emoji108] [emoji108] mwanangu natirika waueeeeeeeeuko vizur ila ameimba mmoja kati ya hilo ambaye anaitwa Dr John na pia kwenye hyo niliyo iandika ameusika kutia mbwembwe kdogo. muulize ukhuty Anaijua vzur
Tanga rahaKesho lini wadau???
Hahahaha nimepita sehemu muda huu aisee acha kabisa,kwa kweli Tanga iacheni tutarataraaaa tarararaaaaa tarariraaaa hatanikisema[emoji445] wengine wataniponda sisemiii nao sisemi naoo mimi sisemi nao mashilawadu sisemi nao sisemi nao macho kuona najua hutoniamini chungulia utaona [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji108] [emoji108] [emoji108] mwanangu natirika waueeeeeeee
haha itabidi uombe kadi ya uwanachamaNaongezea namim inshaallah amin rabil-allah min ila mmenitenga niongezeni namim kwenye udugu wenu
umeonaee kama huamini chungulia utaonaHahahaha nimepita sehemu muda huu aisee acha kabisa,kwa kweli Tanga iacheni tu