Jaman kweli Tanga raha!

Jaman kweli Tanga raha!

Zidi tu kusisimkwa Mkuu sababu ndio ukweli huo. Yaani sie huwa hatuombi pesa bali mtu anajikuta anatoa kwa moyo wake mweupeeeee. Teh teh.
Sio kwa waishio dar aisee maana hili jiji linajua kuwabadilisha watu sio masikhara.
Wamasai wanakula samaki huku,wanakunywa supu ya pweza nk nk
 
uko vizur ila ameimba mmoja kati ya hilo ambaye anaitwa Dr John na pia kwenye hyo niliyo iandika ameusika kutia mbwembwe kdogo. muulize ukhuty Anaijua vzur
tarataraaaa tarararaaaaa tarariraaaa hatanikisema[emoji445] wengine wataniponda sisemiii nao sisemi naoo mimi sisemi nao mashilawadu sisemi nao sisemi nao macho kuona najua hutoniamini chungulia utaona [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji108] [emoji108] [emoji108] mwanangu natirika waueeeeeeee
 
Hahahaha nimepita sehemu muda huu aisee acha kabisa,kwa kweli Tanga iacheni tu
 
Back
Top Bottom