Jaman mbona magari used yameshuka sana bei sikuhizi nini shida

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
857
Reaction score
1,810
Wakuu sikuhizi gari used zimeshuka sana bei shida nini ?
Au mimi ndio sielewi yaaan unaweza kuona crown namba dz inauzwa 9m
Au Ist ds mil 10 kipind chanyuma bei zilikuwa zimechangamka sanawakuu
 
Wabongo bwana, bei ikiwa juu shida, ikipungua shida. Gari nyingi za 2003 zilizoingizwa bongo kuanzia 2014 mpaka 2020 nyingi zimeshatembea/ zimechoka zipo sokoni na ndio bei hiyo. Usiangalie bei wala namba kagua gari, utapigwa wewe. Watu hawafungi ndoa na vyuma, ananunua anatumia km zikisogea anauza, anavuta nyingine.
 
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee wabongo banaaa
 
Back
Top Bottom