Wabongo bwana, bei ikiwa juu shida, ikipungua shida. Gari nyingi za 2003 zilizoingizwa bongo kuanzia 2014 mpaka 2020 nyingi zimeshatembea/ zimechoka zipo sokoni na ndio bei hiyo. Usiangalie bei wala namba kagua gari, utapigwa wewe. Watu hawafungi ndoa na vyuma, ananunua anatumia km zikisogea anauza, anavuta nyingine.