Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia mkuu,kula mtori kwa sana tu nyama utazikuta chini.
Na ndizi za kupika matoke/mshale mkuuhuo mtori unanunua na nini
hongerenimagufuli mitano tenaaaaa
swala ni pensheni tulipwe, kwan michango yetu iko wapi? basi tupewe nauli ambayo ni haki yetu basiHaha hivi kumbe na nyie mnapataga shida? Pambaneni na hali zenu na hapo bado Mungu anawasubiri dhulma mliowafanyia raia wasio kuwa na hatia
Niwe mkakamavu kwenye haki yangu kwani mi mtumwa au naendeshwa kama gari bovu
👊👊
Mpk hapo umekua sio mzalendo,utakua unatumika mabeberu mkuu.swala ni pensheni tulipwe, kwan michango yetu iko wapi? basi tupewe nauli ambayo ni haki yetu basi